Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 839
Habari wanaJF
Natumai nyote ni wazima kuna huyu dogo alikuwa anajitahidi sana darasani matokeo yalivyotoka alipata pass ya 1.4 alikuwa na C-4,D-2,E-1,na F-1.na zilibalance kombi za arts
Matokeo ya kupangwa yamekuja hajapangwa kidato cha 5 yaani ndo kachanganyikiwa kabisa
jamani anaweza kuchaguliwa second selection?
Na jee kuna second selection mwaka huu?
Na hata asipoenda a level akasomee nin? chuo au kwa sababu masomo yake ni ya arts?
Ushauri tafadhali
ikishaitwa pass basi ujue ni DIV 4:;;
Ni kuanzia Distinction mpaka Credit ndio wanaopangiwa school za government
serikali imesema wote waliokosa nafasi na wamefaulu watapelekwa vyuo na watasoma diploma miaka miwili na baadae kujiunga na degree kama wenzao walioenda form 5. kwa hyo asubiri chuo tu watapangiwaHabari wanaJF
Natumai nyote ni wazima kuna huyu dogo alikuwa anajitahidi sana darasani matokeo yalivyotoka alipata pass ya 1.4 alikuwa na C-4,D-2,E-1,na F-1.na zilibalance kombi za arts
Matokeo ya kupangwa yamekuja hajapangwa kidato cha 5 yaani ndo kachanganyikiwa kabisa
jamani anaweza kuchaguliwa second selection?
Na jee kuna second selection mwaka huu?
Na hata asipoenda a level akasomee nin? chuo au kwa sababu masomo yake ni ya arts?
Ushauri tafadhali
serikali imesema wote waliokosa nafasi na wamefaulu watapelekwa vyuo na watasoma diploma miaka miwili na baadae kujiunga na degree kama wenzao walioenda form 5. kwa hyo asubiri chuo tu watapangiwa
Anywe mseto 20×1
Nina huyu dogo langu matokeo yake ni haya hapa.. :Get. GPA 1.9 CREDIT
CIV - 'D' HIST - 'E' GEO - 'C' E/D/KIISLAMU - 'D' KISW - 'B' ENGL - 'B' BIO - 'B' B/MATH - 'E'
amekosa shule na yeye... inakuwaje hapo
msaada please
History kaharibu angeenda hgkNina huyu dogo langu matokeo yake ni haya hapa.. :Get. GPA 1.9 CREDIT
CIV - 'D' HIST - 'E' GEO - 'C' E/D/KIISLAMU - 'D' KISW - 'B' ENGL - 'B' BIO - 'B' B/MATH - 'E'
amekosa shule na yeye... inakuwaje hapo
msaada please