Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 839
Habari wanaJF
Natumai nyote ni wazima kuna huyu dogo alikuwa anajitahidi sana darasani matokeo yalivyotoka alipata pass ya 1.4 alikuwa na C-4,D-2,E-1,na F-1.na zilibalance kombi za arts
Matokeo ya kupangwa yamekuja hajapangwa kidato cha 5 yaani ndo kachanganyikiwa kabisa
jamani anaweza kuchaguliwa second selection?
Na jee kuna second selection mwaka huu?
Na hata asipoenda a level akasomee nin? chuo au kwa sababu masomo yake ni ya arts?
Ushauri tafadhali