Mshaurini huyu, kachanganikiwa kukosa selection

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
839
Habari wanaJF
Natumai nyote ni wazima kuna huyu dogo alikuwa anajitahidi sana darasani matokeo yalivyotoka alipata pass ya 1.4 alikuwa na C-4,D-2,E-1,na F-1.na zilibalance kombi za arts
Matokeo ya kupangwa yamekuja hajapangwa kidato cha 5 yaani ndo kachanganyikiwa kabisa
jamani anaweza kuchaguliwa second selection?
Na jee kuna second selection mwaka huu?
Na hata asipoenda a level akasomee nin? chuo au kwa sababu masomo yake ni ya arts?

Ushauri tafadhali
 
Kuna kazi watu wanapata bila kwenda form 5 cha msing tu apite kozi husika!

Mfano Polisi, Magereza, Afisa Mtendaji, Askari w/pori (tena hawa wana mshiko ni noma na form 4zao za D2-www.pasiansiwti.ac.tz),

Ziko nyingi sana tu na siku hizi mpk wenye degree wanazitamani!

Asikate tamaa/kychanganyikiwa asome NTA L5 kwanza afu atafte job ndipo aendelee
 
Ajitoe ufahamu amsikilize kikulacho..maisha kujilipua ama vip baba mtumishi
 
Habari wanaJF
Natumai nyote ni wazima kuna huyu dogo alikuwa anajitahidi sana darasani matokeo yalivyotoka alipata pass ya 1.4 alikuwa na C-4,D-2,E-1,na F-1.na zilibalance kombi za arts
Matokeo ya kupangwa yamekuja hajapangwa kidato cha 5 yaani ndo kachanganyikiwa kabisa
jamani anaweza kuchaguliwa second selection?
Na jee kuna second selection mwaka huu?
Na hata asipoenda a level akasomee nin? chuo au kwa sababu masomo yake ni ya arts?

Ushauri tafadhali

ikishaitwa pass basi ujue ni DIV 4:;;
Ni kuanzia Distinction mpaka Credit ndio wanaopangiwa school za government
 
Huu mpangilio mpya wa matokeo (BRN) ni shida kwakweli ni kuchanganya watu tu sijui kwanini wameleta haya mauza uza
mtu akiandikiwa pass anafurahi masikini kumbe ni four, mara grades E na F kumbe zote ni sawa tu zote ni fail
pole kwake atafute kozi tu aende
 
Dogo advance anaenda mbna hata private
 
ikishaitwa pass basi ujue ni DIV 4:;;
Ni kuanzia Distinction mpaka Credit ndio wanaopangiwa school za government

Nina huyu dogo langu matokeo yake ni haya hapa.. :Get. GPA 1.9 CREDIT
CIV - 'D' HIST - 'E' GEO - 'C' E/D/KIISLAMU - 'D' KISW - 'B' ENGL - 'B' BIO - 'B' B/MATH - 'E'
amekosa shule na yeye... inakuwaje hapo
msaada please
 
hao wadogo wenu wote wana sifa za kufanya mtihani wa kidato cha sita ila hawakupata selection ya gvmnta hvy mi ningeshauri waend prvt schooll.

Kama uwezo wa familia ni mdogo kwnda shule za private bac wajisomee tuition tu halaf wanunue mtihani km ni prvt candidate ila wasikate tamaa na kuchanganyikiwa kwani nasi tulifanya hvy hvy na sasa tupo vyuoni
 
Me nawashauri hao madogolasi watafute kozi fupi wasome na mambo mengne ni mbele ya safari.
 
Habari wanaJF
Natumai nyote ni wazima kuna huyu dogo alikuwa anajitahidi sana darasani matokeo yalivyotoka alipata pass ya 1.4 alikuwa na C-4,D-2,E-1,na F-1.na zilibalance kombi za arts
Matokeo ya kupangwa yamekuja hajapangwa kidato cha 5 yaani ndo kachanganyikiwa kabisa
jamani anaweza kuchaguliwa second selection?
Na jee kuna second selection mwaka huu?
Na hata asipoenda a level akasomee nin? chuo au kwa sababu masomo yake ni ya arts?

Ushauri tafadhali
serikali imesema wote waliokosa nafasi na wamefaulu watapelekwa vyuo na watasoma diploma miaka miwili na baadae kujiunga na degree kama wenzao walioenda form 5. kwa hyo asubiri chuo tu watapangiwa
 
vyuo vya course gani,na lini watapangiwa
 
Nina huyu dogo langu matokeo yake ni haya hapa.. :Get. GPA 1.9 CREDIT
CIV - 'D' HIST - 'E' GEO - 'C' E/D/KIISLAMU - 'D' KISW - 'B' ENGL - 'B' BIO - 'B' B/MATH - 'E'
amekosa shule na yeye... inakuwaje hapo
msaada please

duh! kusoma arts kumemuharibia sana;: hapo chance kubwa ni katka kombi za HGL,HKL + HGE kwa sana;: Mtaftie private kama vipi ila hata government ana nafasi though problem ni hiyo E ya history
 
Nina huyu dogo langu matokeo yake ni haya hapa.. :Get. GPA 1.9 CREDIT
CIV - 'D' HIST - 'E' GEO - 'C' E/D/KIISLAMU - 'D' KISW - 'B' ENGL - 'B' BIO - 'B' B/MATH - 'E'
amekosa shule na yeye... inakuwaje hapo
msaada please
History kaharibu angeenda hgk
 
Back
Top Bottom