Mshaurini huyu superstar

Mshaurini huyu superstar

kahubiri injili zanzibar..... kabla mwezi huu haujaisha,...... kazamie meli ya wagiriki bila boxer..
 
Jamani naomba ushauri napenda sana kuwa superstar sema shida ni kwamba sina kipaji chochote afu pia siasa sipendi.naomba ushauri kama kuna njia nyingine za kuwa star ukiachana na hizo

Unataka kuwa star ili ugonge warembo wa ukweli au unataka kuwa star ili iweje???ukishajibu ndo ushauri utafuata
 
Nchi ikiendelea kuacommodate watu wenye akili fupi kama huyu ni vigumu kuendelea.
 
Unataka kuwa star ili ugonge warembo wa ukweli au unataka kuwa star ili iweje???ukishajibu ndo ushauri utafuata

kitu kama hicho.afu kulingana na jina lako ushauri wako utanifaa
 
Msubili Muuza Sura ndio mwenye jukwaa lake atakupa huo ushauri unaotaka.
Dogo chafya huyu!badala ya kutaka ushauri atang'oaje watoto wazuri anatuzuga eti anataka kuwa star!!bongo kuna mastar tofauti!mastar wa redio ambao sauti zao ndo maarufu lakini mionekano hawajulikani,kuna mastar sura zao maarufu lakini hawana maajabu kifedha wala kimuonekano mfano bambo,halafu kuna mastar hawakauki kwenye vichupa,mauzo mia na tuzo za kazi zao ni kulala na mabinti wazuri!
 
Muuza Sura Na huyu anayependa Wacongoman Suveree Ben Kinyaiya sura yake ni full mauzo vipi, watoto wakali anasema nao au wanamuona kama demu mwenzao?
 
Last edited by a moderator:
Kuwa mwanaharakati
Piga picha ama igiza muvi ya ngono
Kama uko shule andika matusi kwenye necta
Jaribu kwenda kumhonga mwnykt wa kamati yoyote ya bunge
Sema wewe ni mdogo/kaka/dada wa msanii diamond afu nenda kwa shigongo na ukomae kabisa hata kama diamond akikanusha(sema mmeshare baba ila mama tofauti-mama yako yuko kijijini)

Duuu!!!...
 
Muuza Sura Na huyu anayependa Wacongoman Suveree Ben Kinyaiya sura yake ni full mauzo vipi, watoto wakali anasema nao au wanamuona kama demu mwenzao?

Ben ni balotelli yaani marioo mtu wa kupenda kulelewa na mimama!hana historia ya kung'oa demu aliyekuwa katika peak!uhandsome wa ben ni wakichaga madem wajanja hawachenguki na uhandsome wa design ile!.....sema mkuu jamaa ngumi jiwe usimchukulie laini
 
Last edited by a moderator:
Una Hela au Makorodani Matupu..???? Wape hela wapenda sifa..wanamuziki,bongo movie na wacheza mpira au nenda FreeManson Club kila Jumamosi usiingie ndani kaaa nje rusha hela kwa wananchi...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
"Overnight Celebrity"
(feat. Kanye West)

[Intro: Twista]
Oh you didn't think we can do it again...?
Twista...
Kanye West...
From Po pimpin' to Poppin' tags...
From champions to Slow Jamz...
Oh baby...
We can even make you an overnight celebrity...
Know what I'm sayin'?

[Chorus: Kanye West]
(Why don't we...)
Play somethin' these hoes'll like
Drive whips I know they like
Twista you told 'em right...
[Twista] I can make you a celebrity overnight...
Give you ice like Kobe wife...
We sort of like goldie right...
the way we mold 'em right...
[Twista] I can make you a celebrity overnight...

[Twista]
Girl, I see you in them apple bottom jeans, chinchilla on your back I wanna know your name,
Girl, I'm Twista, I can throw your brain, put you in the chameleon 04 range,
Still sexy when you smoke that flame, jerkin' like a chicken when you throw that thing,
She got me hotter than an oven the way that she talk, switchin' and freaky, so I'm lovin' the way that she walks,
You're lookin' good, girl, you ought to be in pictures... Listen to me, I see your career's goin' sky high,
Takin' you home to the crib in the Chi, and everytime I see your thighs I cry when I drive by,
Watch it, you should bring a thrill, got the fellows on some Johnny Gills steady screaming "My, my, my, my,"
Walking the carpet with the diamonds that flick in the dark, kickin' it on the couch and 106 & Park,
I can see your beauty on a big screen... I can see me freakin' you with whip cream...
I can see you on stage at the awards, with a dress better then Jennifer's and doin' big things,
Kick it with me, I can mold your life, you're lookin' good, girl, show you right,
Dre told me you're the prototype, I can make you a celebrity overnight...

[Chorus]

[Twista]
You want fame, you can take that path, candle lights when you take a bath,
You got such a sensational ass, I'm gonna get you Jimmy Choo and Marc Jacobs bags,
I could cop her a tow thousand and three, make her smile when she sees Sprees,
I can get you on CD's and DVD's, take you to BB's in BCB-G,
I could get you into places, to be into the people I know'll show you things to get into,
I wanna be your lover and your confidant and protect you from others, don't let another brother pimp you,
If you want the style you could with you girl, you all take a look at her she got such an astonishin' body,
I could see you in some Gucci, Roberto Cavalli and I bet she's gonna put a hurt on 'em hard in the party,
And you know you kill 'em in the club, you cold, you was born to be a pro, how you're gonna stick to photos?
And I love you 'cause you're freaky with the door closed, drop it to the floor let that go when you roll slow,
And I love it when I hit it from the back and you get on top of me and have a brother goin "Oh, oh"
Girl, I love how you roll me right, I can make you a celebrity overnight...

[Chorus]
Over Night Celebrity

[Interlude: Twista]
See...
See baby girl...
You see how you make a brother break down?
I just gotta ask you...
What you need?
What you need from me?
Oh, you wanna be a star?
Oh, you're messin' with the right one...
I can take you there...
I can make sure you got all the finest things...
Let me be your manager...

[Twista]
Come here, girl, I can see you're bored, take you to the queen that I see you for,
Take you shoppin' on Sprees in stores, I'm gonna get you to the MTV awards,
We're about to do a show tonight, you're lookin' good girl, show you right,
Take you places, I know you like, I can make you a celebrity overnight,
Come here, girl, you can hang if you're bored, we can do plenty things plus more,
I'm about to have you changin' in stores, I can even get you to the Soul Train Awards,
We're about to do a show tonight, you're lookin' good girl, show you right,
Take you places, I know you like, I can make you a celebrity overnight...
 
Ben ni balotelli yaani marioo mtu wa kupenda kulelewa na mimama!hana historia ya kung'oa demu aliyekuwa katika peak!uhandsome wa ben ni wakichaga madem wajanja hawachenguki na uhandsome wa design ile!.....sema mkuu jamaa ngumi jiwe usimchukulie laini

Haaaaa bado unakumbuka ile ya ben kumpiga askari wa mlimani city nini? Hahaaaaa siamini ile kitu ben ni boflo tu!
 
Haaaaa bado unakumbuka ile ya ben kumpiga askari wa mlimani city nini? Hahaaaaa siamini ile kitu ben ni boflo tu!
Slipway miaka ya nyuma pia alishamkalishaga pimbi flani alimpimia nae!...ukinondoni unamsaidia kimtindo!tatizo hana swagga za kinyama yeye uzaire halaf full umassawe na kushobokea mapapaa!
Akijua mtu ana doo haoni hatari kutafuta namba ya simu na kujitambulisha hapo ndo tetesi za uboflo zilipomuanzia!bongo ukiwa mpambe sana kashfa za ubwabwa lazima zikuhusu!
 
Ben ni balotelli yaani marioo mtu wa kupenda kulelewa na mimama!hana historia ya kung'oa demu aliyekuwa katika peak!uhandsome wa ben ni wakichaga madem wajanja hawachenguki na uhandsome wa design ile!.....sema mkuu jamaa ngumi jiwe usimchukulie laini
Hapa umetisha Kiongozi, kwanza nilikuwa sijui siku hizi kama Marioo wanaitwa Baloteli hapa nimetoka na neno leo, pili kuna kipindi nilikuwa napiga senene pale kwenye Pub yake Kinyaiya nyuma ya Mango sasa nikawa nashanga huyu jamaa mbona simuoni kutag na watoto wakali!? kumbe ni Gegolo!!
 
Back
Top Bottom