ndandambuli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 948
- 641
Jinsia yakoWw ni jinsia gani?!
Jinsia yako
Kwa kweli mpaka nataka kuhisi huyo jamaa si bure ana vinasaba na watakatifu waliopita duniani,Mara mbili unafumania bado unamrudisha ndani,aiseeeee tatatananeeeYaani kuchepuka zote , amefumaniwa na mumewe. alaf anaomba ushauri?
Mwambie its over, hakuna mwanaume anavumilia huo upumbavu
Naomba ushauri kwa niaba yake, binafsi nimemshauri achape laba akaangalie maisha mengine mbele ila hanielewi,anataka asamehewe tu.Yaani kuchepuka zote , amefumaniwa na mumewe. alaf anaomba ushauri?
Mwambie its over, hakuna mwanaume anavumilia huo upumbavu
Jama sio JINSIA ni JINSIJinsia yako
Ww ni jinsia gani?!
Tatizo mtenda akitendwa uona kaonewa,atakasirika weeewakushauriwa ni mwanaume sio mwanamke,na ushauri atafute mwanamke mwingine mwenye heshima zake,hivi si mnasemaga wanawake tuko wengi,hasa unashindwaje kufanya maamuzi?lol mwambie aje na mwanamke mwingine aweke hapo ndani,kama huyo mkeo hajasepa kimya kimya.
Hapa umekuja kijanja, huyu atakuwa ni mkeo tuu na si vinginevyo!! Cha kufanya kama mlijenga mwachie nyumba yeye na watoto halafu nenda kalianzishe la kighetto ghetto ila watoto wako uwajali kwa chakula,mavazi, elimu, matibabu nk vinginevyo utakonda kwa maumivu ya moyo.Kafumaniwa mara tatu na mumewe ,mara mbili kasamehewa hii mara ya tatu mumewe kagoma kabisa kumsamehe,anasema anaweza kumdhuru hataki hata kumuona, ila mwanamke ni king'ang'anizi analazimisha kusamehewa maisha yaendelee, ushauri wenu tafadhali.