Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee kweli wanaume wa namna hii mabwege yaani hawafai kuwepo hawaWapo wachache wale mabwege bwege
Hana uboss wowotesi mbaya kama ukikiri kuwa ni mkeo boss..
japo nikusifu una moyo wa kuonewaonewa wewe maana mara 2 zote unasamehe tu??
Hapana huyo naye mwingine wa bwege mmoja hivi, ila mambo yao yanafanana fanana sanaAsee unampenda sana huyo mwanamke. Si ndo huyu alikuacha bila sababu na akarudi na ukimwi,akaja akakucheat tena na tena.
Je, huu ni upendo au ni ubwege?
Aahh huyo ni RED CARD bila hurumaKafumaniwa mara tatu na mumewe ,mara mbili kasamehewa hii mara ya tatu mumewe kagoma kabisa kumsamehe,anasema anaweza kumdhuru hataki hata kumuona, ila mwanamke ni king'ang'anizi analazimisha kusamehewa maisha yaendelee, ushauri wenu tafadhali.
Haombi ushauri yeye, ninayeomba ushauri ni mimi baada ya ushauri wangu kudunda kwake, ushauri wenu wote nitampelekea kama ulivyoSasa huyo mwanamke anaomba ishauri gani maana sijaelewa
Hana ugumu wa maisha hata kidogo, milo mitatu si kitu cha kuumiza kichwa kwake, anakula atakacho na anavaa apendavyo, ni tamaa tu au pepo la ngono.Hata akisamehewa baada ya muda atarudia tena inaone ni kama tabia yake, inaweza kuwa imetokana na sababu ama tamaa ama maisha magumu, ama ndo tabia yake
Muhimu sana ni ushauri wako, hata nikikiri bila ushauri utakuwa hujanisaidiasi mbaya kama ukikiri kuwa ni mkeo boss..
japo nikusifu una moyo wa kuonewaonewa wewe maana mara 2 zote unasamehe tu??
mficha maradhi kifo humuumbua boss..Muhimu sana ni ushauri wako, hata nikikiri bila ushauri utakuwa hujanisaidia
Yaap ndio maana mambo yamewekwa hadharanimficha maradhi kifo humuumbua boss..
we achana nae,jituile akili vya kutosha kabla hujatafuta wa kukutuliza moyo wako
Yaap ndio maana mambo yamewekwa hadharani
umeolewa wew unaona je akikuchukua wewewakushauriwa ni mwanaume sio mwanamke,na ushauri atafute mwanamke mwingine mwenye heshima zake,hivi si mnasemaga wanawake tuko wengi,hasa unashindwaje kufanya maamuzi?lol mwambie aje na mwanamke mwingine aweke hapo ndani,kama huyo mkeo hajasepa kimya kimya.
Ni rahisi mno kuuvaa uhusika, nimeipokea poleWw ndo muhusika katika hii movie pole munooo