Mshaurini mwanamke huyu, nitampelekea ushauri wenu.

Mshaurini mwanamke huyu, nitampelekea ushauri wenu.

si mbaya kama ukikiri kuwa ni mkeo boss..
japo nikusifu una moyo wa kuonewaonewa wewe maana mara 2 zote unasamehe tu??
 
Nilishakuwa na mwanamke wa namna hiyo, tulikuwa tunaishi nyumba ya kupanga aliposafiri nikahama na kuoa mwingine chapuchapu.
 
Hata akisamehewa baada ya muda atarudia tena inaone ni kama tabia yake, inaweza kuwa imetokana na sababu ama tamaa ama maisha magumu, ama ndo tabia yake
 
Kafumaniwa mara tatu na mumewe ,mara mbili kasamehewa hii mara ya tatu mumewe kagoma kabisa kumsamehe,anasema anaweza kumdhuru hataki hata kumuona, ila mwanamke ni king'ang'anizi analazimisha kusamehewa maisha yaendelee, ushauri wenu tafadhali.
Aahh huyo ni RED CARD bila huruma
 
Hata akisamehewa baada ya muda atarudia tena inaone ni kama tabia yake, inaweza kuwa imetokana na sababu ama tamaa ama maisha magumu, ama ndo tabia yake
Hana ugumu wa maisha hata kidogo, milo mitatu si kitu cha kuumiza kichwa kwake, anakula atakacho na anavaa apendavyo, ni tamaa tu au pepo la ngono.
 
si mbaya kama ukikiri kuwa ni mkeo boss..
japo nikusifu una moyo wa kuonewaonewa wewe maana mara 2 zote unasamehe tu??
Muhimu sana ni ushauri wako, hata nikikiri bila ushauri utakuwa hujanisaidia
 
Muhimu sana ni ushauri wako, hata nikikiri bila ushauri utakuwa hujanisaidia
mficha maradhi kifo humuumbua boss..
we achana nae,jituile akili vya kutosha kabla hujatafuta wa kukutuliza moyo wako
 
wakushauriwa ni mwanaume sio mwanamke,na ushauri atafute mwanamke mwingine mwenye heshima zake,hivi si mnasemaga wanawake tuko wengi,hasa unashindwaje kufanya maamuzi?lol mwambie aje na mwanamke mwingine aweke hapo ndani,kama huyo mkeo hajasepa kimya kimya.
umeolewa wew unaona je akikuchukua wewe
 
Ww ndo muhusika katika hii movie pole munooo
 
Back
Top Bottom