Mshaurini mwanamke huyu, nitampelekea ushauri wenu.

Mshaurini mwanamke huyu, nitampelekea ushauri wenu.

Naomba ushauri kwa niaba yake, binafsi nimemshauri achape laba akaangalie maisha mengine mbele ila hanielewi,anataka asamehewe tu.
Sasa analazimisha msamaha huyu vipi? msamaha haulazimishwi. Maambie ame https://jamii.app/JFUserGuide up big time , na jama kumsamehe, labda Mungu mwenyewe ashuke aje amtetee. Otherwise mume ndio kaenda hivyo, ajiongeze
 
Kwani wana watoto?, umri gani?, mwanamke ni msomi? elimu kiasi gani?

Haya tuendelee,

Mwanaume ana umri gani?, elimu kiasi gani?, je wana mali binafsi nyingi? Mf. Nyumba na mashamba? Kwani mwanzo kwanini alisamehewa?

* Majibu ya haya yataleta taswira
Hawana watoto, umri mke 27yrs mume 34,wote wawili form 4 F, wana uhakika wa milo mitatu,mavazi na nyumba pia,hawakosi milioni moja Kwa mwezi wamejiajiri.
 
Katika pitapita zangu niliwahi kukutana na demu wa aina hyo, anacheat af ukigundua ukamuacha analia sijawah ona king'ang'anizi Kama yule. Yan analia mpka uso unamvimba, muda wote analia mpaka ndugu zake wanamwonea huruma na kumwombea msamaha ila ukimsamehe haipiti muda Tena anacheat. Baadae nkaona nisiwe namfatilia sana mienendo ili apate mwanaume mwingine amuoe Mana Mimi nisingeweza kumuoa kwa tabia ile. Siku hizi ni mjeda.
Atakuwa na udugu na huyu,naye ni bingwa wa kuomba msamaha sana na kumwaga michozi ya kutosha.
 
Ukiona mwanamke umemfumani, halafu sio Mara zote hizo, Mara moja tu, unashauriwa kufanya maamuzi ya kuachana haraka. Kwa ufupi hawa wenzetu, wana maamuzi magumu sana ( baadhi), wako tayari kukupoteza ili acreate space huru ya kuwa na mchepuko wake. Aisee, mwambie afanye haraka before it's noon.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Sinaga ushauri kwa kitu linalocheat kwenye mahusiano, mm sifanyagi huo ujinga nikiwa kwenye mahusiano tamaa zote naweka chini, na ikitokea nikacheatiwa nikajuwa, natoa taarifa asipobadirika basi nafanya maamuzi ya kistaarabu.

Oh kumbe amemsamehe Mara mbili? Its enough. Inatosha maana hata mungu anaona. Mwanamke huyo aondoke mapema apate raha zote anazozitamani, amwache mwanaume wa wa watu sio fungu lake.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Hapa umekuja kijanja, huyu atakuwa ni mkeo tuu na si vinginevyo!! Cha kufanya kama mlijenga mwachie nyumba yeye na watoto halafu nenda kalianzishe la kighetto ghetto ila watoto wako uwajali kwa chakula,mavazi, elimu, matibabu nk vinginevyo utakonda kwa maumivu ya moyo.
Una akili sana, bila shaka hata siku ya kufa kwangu unaijua [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Kafumaniwa mara tatu na mumewe ,mara mbili kasamehewa hii mara ya tatu mumewe kagoma kabisa kumsamehe,anasema anaweza kumdhuru hataki hata kumuona, ila mwanamke ni king'ang'anizi analazimisha kusamehewa maisha yaendelee, ushauri wenu tafadhali.
"SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA"
 
Linaweza likasikia, ushauri wako muhimu tafadhali
MANENO YA WAZEE HAYA POTEI HIVI. Kosa la Uzinifu ni baya sana lakini kama mke amefumaniwa na mumewe mara 2 na akasamehewa[huyo mume hata mungu yuko naye] lakini kwa mara ya tatu-hapo ushauri kupatikana ni mgumu sana kwani hakuna watu wabaya kama watu wenye ustahamili wa hali ya juu-kwani siku wakisema basi, wanaweza fanya mambo ambayo yanaweza kustusha jamii] HERI YA NUSU HASARA KULIKO HASARA KAMILI
 
MANENO YA WAZEE HAYA POTEI HIVI. Kosa la Uzinifu ni baya sana lakini kama mke amefumaniwa na mumewe mara 2 na akasamehewa[huyo mume hata mungu yuko naye] lakini kwa mara ya tatu-hapo ushauri kupatikana ni mgumu sana kwani hakuna watu wabaya kama watu wenye ustahamili wa hali ya juu-kwani siku wakisema basi, wanaweza fanya mambo ambayo yanaweza kustusha jamii] HERI YA NUSU HASARA KULIKO HASARA KAMILI
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Kafumaniwa mara tatu na mumewe ,mara mbili kasamehewa hii mara ya tatu mumewe kagoma kabisa kumsamehe,anasema anaweza kumdhuru hataki hata kumuona, ila mwanamke ni king'ang'anizi analazimisha kusamehewa maisha yaendelee, ushauri wenu tafadhali.
Hawa wanaume wa namna hii bado wapo?
 
Hawana watoto, umri mke 27yrs mume 34,wote wawili form 4 F, wana uhakika wa milo mitatu,mavazi na nyumba pia,hawakosi milioni moja Kwa mwezi wamejiajiri.
Sasa uyo mwanamke nae ndio umri wa kuhangaika kweli huo?? Amwache mwanaume wa watu sio kumsumbua namna hiyo
 
Huyo bado msichana nahc wala co mwanamke hvy mshauri aombe tu talaka kwa mumewe ili awe huru na upuuzi wake asimpotezee mwenzake muda kwasabbu hakuna mapenzi ya style hiyo

Hapo mwanaume akimsamehe atakuwa anatwanga maji kwenye kinu tu
 
Kafumaniwa mara tatu na mumewe ,mara mbili kasamehewa hii mara ya tatu mumewe kagoma kabisa kumsamehe,anasema anaweza kumdhuru hataki hata kumuona, ila mwanamke ni king'ang'anizi analazimisha kusamehewa maisha yaendelee, ushauri wenu tafadhali.
Kuna wanaume mazuzu sijapata ona,hivi nikufumanie alafu uniombe msamaha na maisha yaendelee!ndo tatizo la mwanaume kukosa uamuzi binafsi.mwanaume unatakiwa kuwa na maamuzi magumu.nikimfumania mwanamke hata bibi zake wafufuke sitamsamehe kamwe labda Kwa kosa lingine sio hilo.
 
Kwani wana watoto?, umri gani?, mwanamke ni msomi? elimu kiasi gani?

Haya tuendelee,

Mwanaume ana umri gani?, elimu kiasi gani?, je wana mali binafsi nyingi? Mf. Nyumba na mashamba? Kwani mwanzo kwanini alisamehewa?

* Majibu ya haya yataleta taswira
Mkuu hata angekuwa na dunia hii yote sisamehi kamwe.
 
Back
Top Bottom