Mshaurini mwanamke huyu, nitampelekea ushauri wenu.

Naomba ushauri kwa niaba yake, binafsi nimemshauri achape laba akaangalie maisha mengine mbele ila hanielewi,anataka asamehewe tu.
Sasa analazimisha msamaha huyu vipi? msamaha haulazimishwi. Maambie ame https://jamii.app/JFUserGuide up big time , na jama kumsamehe, labda Mungu mwenyewe ashuke aje amtetee. Otherwise mume ndio kaenda hivyo, ajiongeze
 
Hawana watoto, umri mke 27yrs mume 34,wote wawili form 4 F, wana uhakika wa milo mitatu,mavazi na nyumba pia,hawakosi milioni moja Kwa mwezi wamejiajiri.
 
Atakuwa na udugu na huyu,naye ni bingwa wa kuomba msamaha sana na kumwaga michozi ya kutosha.
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Una akili sana, bila shaka hata siku ya kufa kwangu unaijua [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Kafumaniwa mara tatu na mumewe ,mara mbili kasamehewa hii mara ya tatu mumewe kagoma kabisa kumsamehe,anasema anaweza kumdhuru hataki hata kumuona, ila mwanamke ni king'ang'anizi analazimisha kusamehewa maisha yaendelee, ushauri wenu tafadhali.
"SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA"
 
Linaweza likasikia, ushauri wako muhimu tafadhali
MANENO YA WAZEE HAYA POTEI HIVI. Kosa la Uzinifu ni baya sana lakini kama mke amefumaniwa na mumewe mara 2 na akasamehewa[huyo mume hata mungu yuko naye] lakini kwa mara ya tatu-hapo ushauri kupatikana ni mgumu sana kwani hakuna watu wabaya kama watu wenye ustahamili wa hali ya juu-kwani siku wakisema basi, wanaweza fanya mambo ambayo yanaweza kustusha jamii] HERI YA NUSU HASARA KULIKO HASARA KAMILI
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Kafumaniwa mara tatu na mumewe ,mara mbili kasamehewa hii mara ya tatu mumewe kagoma kabisa kumsamehe,anasema anaweza kumdhuru hataki hata kumuona, ila mwanamke ni king'ang'anizi analazimisha kusamehewa maisha yaendelee, ushauri wenu tafadhali.
Hawa wanaume wa namna hii bado wapo?
 
Hawana watoto, umri mke 27yrs mume 34,wote wawili form 4 F, wana uhakika wa milo mitatu,mavazi na nyumba pia,hawakosi milioni moja Kwa mwezi wamejiajiri.
Sasa uyo mwanamke nae ndio umri wa kuhangaika kweli huo?? Amwache mwanaume wa watu sio kumsumbua namna hiyo
 
Huyo bado msichana nahc wala co mwanamke hvy mshauri aombe tu talaka kwa mumewe ili awe huru na upuuzi wake asimpotezee mwenzake muda kwasabbu hakuna mapenzi ya style hiyo

Hapo mwanaume akimsamehe atakuwa anatwanga maji kwenye kinu tu
 
Kafumaniwa mara tatu na mumewe ,mara mbili kasamehewa hii mara ya tatu mumewe kagoma kabisa kumsamehe,anasema anaweza kumdhuru hataki hata kumuona, ila mwanamke ni king'ang'anizi analazimisha kusamehewa maisha yaendelee, ushauri wenu tafadhali.
Kuna wanaume mazuzu sijapata ona,hivi nikufumanie alafu uniombe msamaha na maisha yaendelee!ndo tatizo la mwanaume kukosa uamuzi binafsi.mwanaume unatakiwa kuwa na maamuzi magumu.nikimfumania mwanamke hata bibi zake wafufuke sitamsamehe kamwe labda Kwa kosa lingine sio hilo.
 
Mkuu hata angekuwa na dunia hii yote sisamehi kamwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…