Wewe kuwezaa...mmakonde anakwambia WEWE KUWEZA..akimaanisha wewe ungekua WANU HAFFIDH ungeweza eeeeeeee.Vipengele ni vingi vya Rais Samia vinavyolalamikiwa katika uteuzi wake.
Aliye karibu na Wanu mshauri ajiuzulu angalau kipengele hiki kipoe
Vipengele ni vingi vya Rais Samia vinavyolalamikiwa katika uteuzi wake.

Huenda yeye ndiyo aliomba na yeye awekwe kwenye baraza la mama yakeWanu na limama lake wote wajinga
Hio ni baada ya masaa 24 kuisha...Wewe kuwezaa...mmakonde anakwambia WEWE KUWEZA..akimaanisha wewe ungekua WANU HAFFIDH ungeweza eeeeeeee.
NB. NIMEKUA NA BAD DREAM USIKU WA KUAMKIA LEO...NIMEKUA NIKI OTA JAMBO LINATOKEA HUWA NAPUUZA ILA LIKATOKEA..
D9 NIMEOTA KUTAKUA NA MTIFUANO WA RISASI...NA NIMEWEKA HAPA KAMA KUMBUKUMBU ILA NILIKUA NA NDOTO MBAYA YA KUOGOFYA JANA USIKU KUELEKEA 9D.
HUWA SIAMINI KWENYE NJOZI ILA HATA 29OCT NILIOTA NDOTO MBAYA KAMA HII YA LEO IMEKUA MBAYA ZAIDI....
Chachu ndogo huchachusha donge zimaWanu ni sehemu ndogo ya matatizo ya mama Samia hata akijiuzulu haipunguzi chochote wewe si umeona majibu ya Mwigulu Nchemba kwa maswali magumu alioulizwa na waandishi wa habari Sasa Mwigulu Nchemba ni ndugu yake? Hiyo ndio taswira halisi ya serikali yake
Hakutakuwa na risasi hata moja kama ikitokea waandamanaji wakapigwa risasi basi na serikali hii ndio itakuwa mwisho wake na hilo wanalijua hawawezi kujimaliza kizembe hivyo..Wewe kuwezaa...mmakonde anakwambia WEWE KUWEZA..akimaanisha wewe ungekua WANU HAFFIDH ungeweza eeeeeeee.
NB. NIMEKUA NA BAD DREAM USIKU WA KUAMKIA LEO...NIMEKUA NIKI OTA JAMBO LINATOKEA HUWA NAPUUZA ILA LIKATOKEA..
D9 NIMEOTA KUTAKUA NA MTIFUANO WA RISASI...NA NIMEWEKA HAPA KAMA KUMBUKUMBU ILA NILIKUA NA NDOTO MBAYA YA KUOGOFYA JANA USIKU KUELEKEA 9D.
HUWA SIAMINI KWENYE NJOZI ILA HATA 29OCT NILIOTA NDOTO MBAYA KAMA HII YA LEO IMEKUA MBAYA ZAIDI....
🤭🤔🥱😳😀😅🤣😂Visimi vyao
Uko sahihi! Kwanini? Safari hii hata vitisho vya akina shetani Wambura, Mchengerwa, Mulilo etc havipoHakutakuwa na risasi hata moja kama ikitokea waandamanaji wakapigwa risasi basi na serikali hii ndio itakuwa mwisho wake na hilo wanalijua hawawezi kujimaliza kizembe hivyo..
NGOJA tuoneeeHakutakuwa na risasi hata moja kama ikitokea waandamanaji wakapigwa risasi basi na serikali hii ndio itakuwa mwisho wake na hilo wanalijua hawawezi kujimaliza kizembe hivyo..