Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Anajivunia mama yake rais atakingiwa kifua.Vipengele ni vingi vya Rais Samia vinavyolalamikiwa katika uteuzi wake.
Aliye karibu na Wanu mshauri ajiuzulu angalau kipengele hiki kipoe
Anajivunia mama yake rais atakingiwa kifua.Vipengele ni vingi vya Rais Samia vinavyolalamikiwa katika uteuzi wake.
Aliye karibu na Wanu mshauri ajiuzulu angalau kipengele hiki kipoe
😂😂😂😂😂😂😂😂Wanu na limama lake wote wajinga
Hata mim siamin kama patanuka tena,ila pakinuka nitaamin sio raia tu wanaokinukisha,ntaamin kuna nguvu nyingine kutoka kwa wasiojulikanaHoja yako ni ya msingi, kwa mtu anayetazama mambo kwa jicho la tatu, angeona hili na kulifanyia kazi haraka... Ila kwa kuwaza kawaida unaweza kusema yatapoa kama ulivyozoea
Kuendelea kutokuamini hakuzii yanayopaswa kutokea kama ambavyo 29 Oct ilizaniwa haina kitu, huhitaji kufikiri kuna nguvu ya ziada, mambo yaliyotokea na yanayoendelea ni nguvu tosha iliyosababisha haya yote yatokee.Hata mim siamin kama patanuka tena,ila pakinuka nitaamin sio raia tu wanaokinukisha,ntaamin kuna nguvu nyingine kutoka kwa wasiojulikana