Naona mmeanza kujilainisha kijinga sasa. Ajiuzuru nini uanachama wa ccm au nini?
Hivyo akijiuzulu uchaguzi unakuwa wa haki? Na Mnamkubali huyo samuya kuwa rais wenu? Akijiuzuru huyo wanu tayari mna bariki utekaji na kupotezwa kunakofanywa polisi na ccm?
Kama huna cha kuandika bora usikilize muziki kuliko kuja na hoja mufilisi.
Sasa wanu ndio kawa tatizo lenu, mmesahau tume huru, katiba, utekaji na kupotezwa?.
Kama kujiuzuru huyo wanu kuna kupa faraja ya aina yoyote sidhani kama unajua hata unachokidai kwenye nchi hii.?