Mshenzi wewe,ukome kunifuatafuata,tena futa na namba yangu!!

Mshenzi wewe,ukome kunifuatafuata,tena futa na namba yangu!!

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Hayo ni maneno ambayo nlitamkiwa na dada mmoja hvi miezi takriban minne iliyopita,kikweli huyu dada ni mrembo wa haja na nlikua na ndoto za kummiliki mapema iwezekanavyo.kisa cha kuniambia maneno hayo ni baada ya mie kumkumbushia ombi langu ambalo nlikua nimeomba kuwa mpangaji ktk moyo wake bt tofauti na matarajio yangu,nikawa nimejibiwa hvo..

wel ckujibu chochote hadi mwenyewe jana aliponitext na kuniambia hvi ''excuse me diah, nichukulie poa bana,ujue at that time kwa kwel i was passing through hardtime of my lyf, ndo mana nkakujbu vile ila nimenotc u real loved me,so kama hutojali find a place tukae then tuongee mengi likiwemo na lile ombi lako'' me sijamjbu chochote hadi sa hz, sasa wakuu wangu nishaurin nimjbu nin huyu mrembo!?
 
Alipokuwa amekutegemea kumeota nyasi, kaamua kuanza kupitia maombi ya nyuma moja bahada ya jingine, shtuka miezi minne ni mingi sana, kama alikuwa serious na wewe wiki tu ilimtosha kukutafuta.....!
 
Alipokuwa amekutegemea kumeota nyasi, kaamua kuanza kupitia maombi ya nyuma moja bahada ya jingine, shtuka miezi minne ni mingi sana, kama alikuwa serious na wewe wiki tu ilimtosha kukutafuta.....!

kwa hiyo na me nimkaushie tu sio?
 
Alipokuwa amekutegemea kumeota nyasi, kaamua kuanza kupitia maombi ya nyuma moja bahada ya jingine, shtuka miezi minne ni mingi sana, kama alikuwa serious na wewe wiki tu ilimtosha kukutafuta.....!

Don"t speculate until you spectate!!!!!!
 
Hayo ni maneno ambayo nlitamkiwa na dada mmoja hvi miezi takriban minne iliyopita,kikweli huyu dada ni mrembo wa haja na nlikua na ndoto za kummiliki mapema iwezekanavyo.kisa cha kuniambia maneno hayo ni baada ya mie kumkumbushia ombi langu ambalo nlikua nimeomba kuwa mpangaji ktk moyo wake bt tofauti na matarajio yangu,nikawa nimejibiwa hvo..

wel ckujibu chochote hadi mwenyewe jana aliponitext na kuniambia hvi ''excuse me diah, nichukulie poa bana,ujue at that time kwa kwel i was passing through hardtime of my lyf, ndo mana nkakujbu vile ila nimenotc u real loved me,so kama hutojali find a place tukae then tuongee mengi likiwemo na lile ombi lako'' me sijamjbu chochote hadi sa hz, sasa wakuu wangu nishaurin nimjbu nin huyu mrembo!?

Teh teh teh huyu kamwagwa na kidume sasa anataka ajiegeshe kwako
 
Hayo ni maneno ambayo nlitamkiwa na dada mmoja hvi miezi takriban minne iliyopita,kikweli huyu dada ni mrembo wa haja na nlikua na ndoto za kummiliki mapema iwezekanavyo.kisa cha kuniambia maneno hayo ni baada ya mie kumkumbushia ombi langu ambalo nlikua nimeomba kuwa mpangaji ktk moyo wake bt tofauti na matarajio yangu,nikawa nimejibiwa hvo..wel ckujibu chochote hadi mwenyewe jana aliponitext na kuniambia hvi ''excuse me diah, nichukulie poa bana,ujue at that time kwa kwel i was passing through hardtime of my lyf,ndo mana nkakujbu vile ila nimenotc u real loved me,so kama hutojali find a place tukae then tuongee mengi likiwemo na lile ombi lako'' me sijamjbu chochote hadi sa hz,sasa wakuu wangu nishaurin nimjbu nin huyu mrembo!?

Nenda kaonge naye, msikilize, usiwe na dhana kama mchangiaji mmoja alivyosema eti amekataliwa alipopategemea
 
Umenunua mkoko hizi siku za karibuni?.....joking
Usikikatae wito mkuu...........Kaseme naye kisha through maongezi utajua kama anakutaka kwa dhati?, na wewe pia utajua kama unampenda bado
Then amua
 
usikatae wito...kataa neno...tumia akili za mabyuway changanya na zako kabla ya kuamua...
 
aahahahahahaha hahahahhah ahahahaahaha hahahaha hahhahahah
ahahahhahahaha huyo aliwaweka kwenye short list na aliyetegemewa
hajatokea ndio maana ila usijump kwenye conclusion nenda mpe muda
wa miezi kama minne kula mzigo halafu utajua shida yake iko wapi
 
Mwanaume huwa hasusi................We vipi bana!
Hizo bahati huwa mie sizipatagi....................LOL

Mtambuzi bwana usikufuru mungu bwana,hata pale Meeda ulivyokuwa unakula KI-PORTUGUSE,ile ni bahati pia bwana,we unafikiri kuchomolewa ile kitu siku ile vijana wa sasa hawazipati hizo.Mwambie tu kijana kwamba asilembe sana kama mchuchu umerudi wenyewe basi kula kwanza mambo mengine rudi hapa uulize labda kama anataka kuoa kesho
 
kwa kuwa ulikuwa wataka kupanga moyoni mwake...ikimaanisha kuwa later ungebwaga manyanga...mie naona sio mbaya ukapange tena na kupata utamu...ukichoka hiyo nyumba kapange nyingine
 
Back
Top Bottom