Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,058
- 2,195
Hayo ni maneno ambayo nlitamkiwa na dada mmoja hvi miezi takriban minne iliyopita,kikweli huyu dada ni mrembo wa haja na nlikua na ndoto za kummiliki mapema iwezekanavyo.kisa cha kuniambia maneno hayo ni baada ya mie kumkumbushia ombi langu ambalo nlikua nimeomba kuwa mpangaji ktk moyo wake bt tofauti na matarajio yangu,nikawa nimejibiwa hvo..
wel ckujibu chochote hadi mwenyewe jana aliponitext na kuniambia hvi ''excuse me diah, nichukulie poa bana,ujue at that time kwa kwel i was passing through hardtime of my lyf, ndo mana nkakujbu vile ila nimenotc u real loved me,so kama hutojali find a place tukae then tuongee mengi likiwemo na lile ombi lako'' me sijamjbu chochote hadi sa hz, sasa wakuu wangu nishaurin nimjbu nin huyu mrembo!?