Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
Huyo Lllian ana pesa kumzidi mmiliki wa Facebook?

Acha uzembe wa kiakili!
Mganga wa kienyeji anakualika akutengenezee dawa upate pesa hali ya kuwa yeye ni fukara aliyetopea (kwa ufala wako wewe ndio unampelekea mganga hela!!)
Acheni hizo!
 
Pole sana ndugu yangu, bora wewe umekiri hujui. Nakuomba tu ujitahidi kujifunza kusoma literatures za forex zipo tele mtandaoni.


Naamini utaelewa vizuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkiwafundisha mnawapa hamu ya kupiga hela kwa wingi kwa mtaji mdogo, wakiingia kichwa kichwa wakakaanga hela mnawalaumu eti walikuwa na tamaa ya kupata faida nono! Ebo! Sasa mngetaka apate faida kiduchu si mngemwambia hapo awali?
Hamna tofauti na kalumanzila
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]


Hahahaha Just Hahaha






Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Lllian ana pesa kumzidi mmiliki wa Facebook?

Acha uzembe wa kiakili!
Mganga wa kienyeji anakualika akutengenezee dawa upate pesa hali ya kuwa yeye ni fukara aliyetopea (kwa ufala wako wewe ndio unampelekea mganga hela!!)
Acheni hizo!
[emoji1] [emoji1] Just[emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuuliza benki kuu ya tanzania maana naweza kwenda ofisini kwao kwa miguu, sasa wewe unaniletea atiko ambayo nikitaka kupata ithibati yake lazima niwe na hati ya kusafiria ya kielektroni na nauli ya drimulaina!!
Wee vipi wewe?
[emoji1] [emoji1] Just[emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Guys hili suala la forex kwanza mnatakiwa kujua kwamba usifanye kama business ila fanya kama investment. Na kila pro trader yeyote yule lazima alipitia katika kuunguza account na kupoteza pesa lakini courage na persistance ya kutaka kujua trading strategy mbali mbali hadi kupata inayofaa ndo hapo utakapaoanza kuona faida zake. Discpline ndo inaangusha wengi sana, tamaa zinafanya account ziungue.
Huyo jamaa anafanyia biashara pesa ambayo hayuko tayari kupoteza ndo maana anauza vitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…