Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Ndio maana nikasema ukitumia risk management nzuri hata kuunguza account itakuwa ngumu sana sana.Ni sawa boss stop loss inaunguza account ila si kwa mara moja, huwezi kusema stop loss iliondoka na account ina maana aliiweka wapi? Mimi kwa sasa acha tu niendelee kutumia nitaacha nikiwa guru kama wewe, hakuna kitu kinaniumaga kama ku cut loss
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu ana mtaji wa dola 100 anatumia lot size ya 0.09 hapo anatarajia nini. Ila kama akienda na lot size ya 0.01 au 0.02 with trend lazima atusue.
Hata kama ikienda against ni ngumu kuunguza.
Nikwambie tu Stop loss ni mbinu ya big financial institutions kwenye forex kutupiga sisi retail traders. Nakuomba utafute kitabu cha Quoter theory kilichoandikwa na Illian Yutov (Mtaalamu). Ujinze kutrade kwa Quoters
Sent using Jamii Forums mobile app