Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Ofcourse Ulokole ni kama utapeliForex ni kama ulokole tu.
Mniwie radhi walokole wote humu sina maana ya kuwakashifu.
Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ofcourse Ulokole ni kama utapeliForex ni kama ulokole tu.
Mniwie radhi walokole wote humu sina maana ya kuwakashifu.
Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
Forex si pesa rahisi hata kidogo, inahitaji usome na uelewe,pia uifanye iwe kwa practice acc na real na kuendelea kufuatilia market ni endelevu, market yenyewe inakufundisha kila Leo.Tangu niambiwe kuwa pesa nilizo panda pale DeCi mabibo eti nitaenda kuvuna Mbinguni sijashiriki upuuzi mwingine wowote unaohusisha pesa kwa urahisi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mmoja kamaliza chuo Sheria SAUT yeye na For3x Forex na yeye!Wenyewe wanakwambia "Forex not for everone"
Kitu cha kwanza, most forex broker, stop loss is not granted japo hiki kitu huwa hakiwekwi wazi kwa brokers walio wengi.
Elimu aliyonayo haina msaada wowote kwakeMm Nina ndugu yangu ana shahada ya pili ya uhasibu na CPA lakini anaifananisha forex na qnet.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah, kikapu kina hela nzuri tu kwa quaters 4 ukiwa makini! Forex is not for everyone but betting isBETTING UNAANGALIA MECHI LIVE
Hahahah yani we uliingiza ada forex?siwezi kumsahau huyu T.O ontario nilishawishika nika trade ada yote nikiwa kampala M.d duh saivi nasota mtaani tu.Maku sana Ontario kaniharibia maisha jumla jumla.
HahahahDUUH POLE YAKO MKUU INASIKITISHA SANA... MARA KUMI UNGEENDA KWENYE KILIMO ATLEAST KULIKO HIZO BITCOIN
Ohooosiwezi kumsahau huyu T.O ontario nilishawishika nika trade ada yote nikiwa kampala M.d duh saivi nasota mtaani tu.Maku sana Ontario kaniharibia maisha jumla jumla.
Don't forget even Fid Q was there too with AY and both of 'em were scammed by ONTARIO.Yaan mello ukimweleza habar za Ontario anaweza kukupiga hata mawe
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili yake ndogo sana....Kuna mmoja kamaliza chuo Sheria SAUT yeye na For3x Forex na yeye!
Pesa yote kutoka kwa wazazi wake waliostaafu kaifukia huko!
Hana kazi. Dadake anayefanya kazi Bank Flani kubwa Mwanza kashampa zaidi ya 5M ili avune huko FOREX, lakini wapi![emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hivi analialia tu na kuomba omba tu akikaa kwa shemejie!
Vijana jifunzeni kufanya kazi asilia, haya mambo ya mitandaoni kuamini utakuwa Mo kwa biashara uchwara kama hizi ni kukupa umaskini zaidi.
Laiti kama kijana huyu anayetarajia kugombea Ubunge huko kwao angetumia hela alizotumbukiza huko Forex leo angekuwa si mtu wa kukosa kazi kama alivyo sasa na degree yake ya sheria!
FOREX sio ya Kujiingizia pesa kwa Kuotea...
Mwambie aache upuuz kuna ndugu Yangu alikuja kunambia hii kitu ya forex nikamwambia hii kitu naijua zaman sana kabla yako kuna akili kubwa inaitwa Ontario iliileta jf watu wakapigwa akiwemo mwenye jf mwenyewe bwana mello na akili kubwa mwingine anaitwa ruge naye alipigwa pia
Biashara ni uzalishaji mali na Huduma hizi zingine ni majanga tu
Ontario bhana nukuu yake moja kajamaa kanasema hii biashara ya forex hata bank hawaijui na hawatak kabisa uijue, duh salute sana ontario
Kuna mmoja kamaliza chuo Sheria SAUT yeye na For3x Forex na yeye!
Pesa yote kutoka kwa wazazi wake waliostaafu kaifukia huko!
Hana kazi. Dadake anayefanya kazi Bank Flani kubwa Mwanza kashampa zaidi ya 5M ili avune huko FOREX, lakini wapi!😂😂😂
Sasa hivi analialia tu na kuomba omba tu akikaa kwa shemejie!
Vijana jifunzeni kufanya kazi asilia, haya mambo ya mitandaoni kuamini utakuwa Mo kwa biashara uchwara kama hizi ni kukupa umaskini zaidi.
Laiti kama kijana huyu anayetarajia kugombea Ubunge huko kwao angetumia hela alizotumbukiza huko Forex leo angekuwa si mtu wa kukosa kazi kama alivyo sasa na degree yake ya sheria!
That guy's wanker and he disqualified to be learned person above all.Kuna mmoja kamaliza chuo Sheria SAUT yeye na For3x Forex na yeye!
Pesa yote kutoka kwa wazazi wake waliostaafu kaifukia huko!
Hana kazi. Dadake anayefanya kazi Bank Flani kubwa Mwanza kashampa zaidi ya 5M ili avune huko FOREX, lakini wapi!😂😂😂
Sasa hivi analialia tu na kuomba omba tu akikaa kwa shemejie!
Vijana jifunzeni kufanya kazi asilia, haya mambo ya mitandaoni kuamini utakuwa Mo kwa biashara uchwara kama hizi ni kukupa umaskini zaidi.
Laiti kama kijana huyu anayetarajia kugombea Ubunge huko kwao angetumia hela alizotumbukiza huko Forex leo angekuwa si mtu wa kukosa kazi kama alivyo sasa na degree yake ya sheria!
Mkuu itaje iyo Chanel. Wengine Bado tusikia sikia Bado tunakusanya maarifa...Mkuu inauma saba , nipo kwenye channel moja na watu wa mataifa ya ulaya, Asia na America. Kuna vijana Niko nao kule wanaijua forex tangu wakiwa na miaka 9. Kuna huyo mmoja anatokea Dubai yeye alikuwa anafundishwa na baba yake kufanya stocks tangu akiwa na miaka 10. Baada ya kuwa mtu mzima ndio kajiongeza kufanya Forex.
Kuna mzungu mmoja yeye huwa anatengeneza indicators za forex kwa kila anachosoma. Yaani kama ameaoma Quoter Theory yeye anaitengenezea indicator ili imsaidie trader. Jamaa nilisoma Biography yake kuwa ameijua forex tangu akiwa na miaka 16. Leo unashangaa mtanzania tena kwa cheap reasons anasema forex ni utapeli .
Ujamaa ulituharibu saaaana. Ulituziba kujua mambo mengi ya kidunia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo leo umenichekesha sana..Mwambie aache upuuz kuna ndugu Yangu alikuja kunambia hii kitu ya forex nikamwambia hii kitu naijua zaman sana kabla yako kuna akili kubwa inaitwa Ontario iliileta jf watu wakapigwa akiwemo mwenye jf mwenyewe bwana mello na akili kubwa mwingine anaitwa ruge naye alipigwa pia