Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
Tangu niambiwe kuwa pesa nilizo panda pale DeCi mabibo eti nitaenda kuvuna Mbinguni sijashiriki upuuzi mwingine wowote unaohusisha pesa kwa urahisi...

Sent using Jamii Forums mobile app
Forex si pesa rahisi hata kidogo, inahitaji usome na uelewe,pia uifanye iwe kwa practice acc na real na kuendelea kufuatilia market ni endelevu, market yenyewe inakufundisha kila Leo.
Kama mtu wa kujituma baada ya miezi sita au mwaka utaanza kuona matunda.
Fx inahitaji uipende,uwe na jitihada ya kuifuatilia,pia persistence .

Mwisho si kila mtu ataweza atakuwa trader,sikiliza nafsi yako inavyokwambia
 
Wenyewe wanakwambia "Forex not for everone"
Kuna mmoja kamaliza chuo Sheria SAUT yeye na For3x Forex na yeye!

Pesa yote kutoka kwa wazazi wake waliostaafu kaifukia huko!

Hana kazi. Dadake anayefanya kazi Bank Flani kubwa Mwanza kashampa zaidi ya 5M ili avune huko FOREX, lakini wapi!😂😂😂

Sasa hivi analialia tu na kuomba omba tu akikaa kwa shemejie!

Vijana jifunzeni kufanya kazi asilia, haya mambo ya mitandaoni kuamini utakuwa Mo kwa biashara uchwara kama hizi ni kukupa umaskini zaidi.

Laiti kama kijana huyu anayetarajia kugombea Ubunge huko kwao angetumia hela alizotumbukiza huko Forex leo angekuwa si mtu wa kukosa kazi kama alivyo sasa na degree yake ya sheria!
 
Stop loss inatembeaje na mzigo wote bro hebu fafanua

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu cha kwanza, most forex broker, stop loss is not granted japo hiki kitu huwa hakiwekwi wazi kwa brokers walio wengi.

Sasa kwa sababu stoploss siyo granted, kwenye baadhi ya stuation ambapo market inakuwa na volatility kubwa(siyo mara zote), market huwa ina tabia ya kujump stop loss. Yaani pamoja na kuweka stoploss bado unaweza ukachoma account.

Nliexperience hicho kitu kwenye interest rate ya CAD 17/1/2018. niliweka pending orders zangu nikaset na stop loss, ndani ya few seconds nikawa kwenye deep blue ila kilichofuata baada ya hapo price ilireverse ikajump stoploss nikablow account. Japo kama stop loss ingefanya kazi ningeloose ony $80 badala yake I lost $500. Na huo ndo ukawa mwisho wangu kutrade news.

Ndiyo maana brokers wengi wanashauri kwamba avoid trading during high volatility news.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
anacheza forex ndo maana anafeli si tunaofanya in serious mbona tunafanikiwa forex unaweza poteza kiasi chochote kile cha pesa hata bilion inapotea kama hauna maarifa nayo na unaifanya kama kamali
i'am consistency forex trader 1year expirienc in live trading nimepoteza za kutosha nkmepata za kutosha ila ilikua kama sehemu ya kutafuta maarifa na nimeyapata bila mentor
now sina ulafi wa hela sina haraka ya pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ila hujachelewa unaweza kubeba familia yako muende mkaandamane huko barabarani alafu wale wanaolinda raia na mali zao waje kukuuliza kibali chakufanyia maandamano uwaambie huna aseee ntakuonea huruma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
setup zangu za kila siku, 60pips kwa siku lot niijuyo mimi izo pips inategemea nazipataje kama kwa trade mbili au moja pair zangu kadhaa hata uniamshe usingizini, nina nidhamu ya hali ya juu iyo ndo msaada kwangu, sio mtu wa kujifanya mjuaji, sio mtu wa kupanic, sio mtu wa kuotea, nakubali siku nimetoka knockout n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mmoja kamaliza chuo Sheria SAUT yeye na For3x Forex na yeye!

Pesa yote kutoka kwa wazazi wake waliostaafu kaifukia huko!

Hana kazi. Dadake anayefanya kazi Bank Flani kubwa Mwanza kashampa zaidi ya 5M ili avune huko FOREX, lakini wapi![emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa hivi analialia tu na kuomba omba tu akikaa kwa shemejie!

Vijana jifunzeni kufanya kazi asilia, haya mambo ya mitandaoni kuamini utakuwa Mo kwa biashara uchwara kama hizi ni kukupa umaskini zaidi.

Laiti kama kijana huyu anayetarajia kugombea Ubunge huko kwao angetumia hela alizotumbukiza huko Forex leo angekuwa si mtu wa kukosa kazi kama alivyo sasa na degree yake ya sheria!
Akili yake ndogo sana....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku izi unamwaga point tu.
Mwambie aache upuuz kuna ndugu Yangu alikuja kunambia hii kitu ya forex nikamwambia hii kitu naijua zaman sana kabla yako kuna akili kubwa inaitwa Ontario iliileta jf watu wakapigwa akiwemo mwenye jf mwenyewe bwana mello na akili kubwa mwingine anaitwa ruge naye alipigwa pia

Biashara ni uzalishaji mali na Huduma hizi zingine ni majanga tu

Ontario bhana nukuu yake moja kajamaa kanasema hii biashara ya forex hata bank hawaijui na hawatak kabisa uijue, duh salute sana ontario

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mmoja kamaliza chuo Sheria SAUT yeye na For3x Forex na yeye!

Pesa yote kutoka kwa wazazi wake waliostaafu kaifukia huko!

Hana kazi. Dadake anayefanya kazi Bank Flani kubwa Mwanza kashampa zaidi ya 5M ili avune huko FOREX, lakini wapi!😂😂😂

Sasa hivi analialia tu na kuomba omba tu akikaa kwa shemejie!

Vijana jifunzeni kufanya kazi asilia, haya mambo ya mitandaoni kuamini utakuwa Mo kwa biashara uchwara kama hizi ni kukupa umaskini zaidi.

Laiti kama kijana huyu anayetarajia kugombea Ubunge huko kwao angetumia hela alizotumbukiza huko Forex leo angekuwa si mtu wa kukosa kazi kama alivyo sasa na degree yake ya sheria!
Kuna mmoja kamaliza chuo Sheria SAUT yeye na For3x Forex na yeye!

Pesa yote kutoka kwa wazazi wake waliostaafu kaifukia huko!

Hana kazi. Dadake anayefanya kazi Bank Flani kubwa Mwanza kashampa zaidi ya 5M ili avune huko FOREX, lakini wapi!😂😂😂

Sasa hivi analialia tu na kuomba omba tu akikaa kwa shemejie!

Vijana jifunzeni kufanya kazi asilia, haya mambo ya mitandaoni kuamini utakuwa Mo kwa biashara uchwara kama hizi ni kukupa umaskini zaidi.

Laiti kama kijana huyu anayetarajia kugombea Ubunge huko kwao angetumia hela alizotumbukiza huko Forex leo angekuwa si mtu wa kukosa kazi kama alivyo sasa na degree yake ya sheria!
That guy's wanker and he disqualified to be learned person above all.
 
Mkuu inauma saba , nipo kwenye channel moja na watu wa mataifa ya ulaya, Asia na America. Kuna vijana Niko nao kule wanaijua forex tangu wakiwa na miaka 9. Kuna huyo mmoja anatokea Dubai yeye alikuwa anafundishwa na baba yake kufanya stocks tangu akiwa na miaka 10. Baada ya kuwa mtu mzima ndio kajiongeza kufanya Forex.

Kuna mzungu mmoja yeye huwa anatengeneza indicators za forex kwa kila anachosoma. Yaani kama ameaoma Quoter Theory yeye anaitengenezea indicator ili imsaidie trader. Jamaa nilisoma Biography yake kuwa ameijua forex tangu akiwa na miaka 16. Leo unashangaa mtanzania tena kwa cheap reasons anasema forex ni utapeli .

Ujamaa ulituharibu saaaana. Ulituziba kujua mambo mengi ya kidunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu itaje iyo Chanel. Wengine Bado tusikia sikia Bado tunakusanya maarifa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie aache upuuz kuna ndugu Yangu alikuja kunambia hii kitu ya forex nikamwambia hii kitu naijua zaman sana kabla yako kuna akili kubwa inaitwa Ontario iliileta jf watu wakapigwa akiwemo mwenye jf mwenyewe bwana mello na akili kubwa mwingine anaitwa ruge naye alipigwa pia

Biashara ni uzalishaji mali na Huduma hizi zingine ni majanga tu

Ontario bhana nukuu yake moja kajamaa kanasema hii biashara ya forex hata bank hawaijui na hawatak kabisa uijue, duh salute sana ontario
Dogo leo umenichekesha sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom