Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
Mchunguze vizuri pengine anakula ngada huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa
Yaani Watanzania wanashangazaa, mtu kasoma kabisaaaaaaaaaaa IFM mambo ya finance halafu mambo ya Forex anasema ni utapeli, jitu linafanya kazi benki miaka kumi na tano experience na lina CPA lakini linakuambia Forex ni utapeli yaani unaweza ukalizabua makofi kwa hasira aseee basi tuu. Majitu yapo mjini lakini utadhani yanaishi kijijini kwa jinsi yalivyozubaa. Tuko ktk information age mtu akikuambia kitu cha manufaa kwa nini usiingie ktk the biggest library google uujue ukweli? Daaah Waafrika!!!!!!!!

Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu anaona kwa mtazamo wake we unalazimisha aamini kuwa sio utapeli itakusaidia nini waache wanaosema ni utapeli na wanaoona sio utapeli waache
Tchao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu anaona kwa mtazamo wake we unalazimisha aamini kuwa sio utapeli itakusaidia nini waache wanaosema ni utapeli na wanaoona sio utapeli waache
Tchao

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana ndugu, huu ni uzubaifu na ushamba wa kupitilizaaa. Siku hizi siyo kama zamani asee maarifa karibu yote yapo kwenye mtandao. Ukiniambia kitu saa izi asee nitazama kwenye mtandao usiku kucha kuujua ukweli asee. Ninaamini mtu hadi kuweza kuwa na application ya Jf at least ana kaelimu na ka ujanja fulani. Lakini ninapoona hoja zetu kuhusu Forex na mambo mengine ninazidi kuthibitisha kwamba elimu yetu ina matatizo makubwa mnoo. Mkuu dunia inakimbia sanaaa..vijana wa Kitanzania tusibaki nyuma, leo watu wapo kwenye mambo ya Artificial Inteligence na ma Cryptocurrency sisi bado tupo kubangua korosho kwa meno tutafika kweli? Hapana, tubadilike mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usilazimishe tufanane
We fanya hayo sie tufanye mengine
Muachage ujinga wote tufanikiwe kwa mbinu moja. There is no single solution for every problem. Ndomana hata wanasaikolojia wa mapenzi ndoa zinawasumbua.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea point sana
 
NASEMA KWA MARA YA MWISHO: NI UJINGA KUBISHANA NA MPUMBAVU MAANA MWISHO WA YOTE NA WEWE UTAONEKANA NI MPUMBAVU.
 
Tatizo wakati unafundisha upo serious sana utafikri unatoa mafunzo ya jeshi.
 
Je ungependa kuifahamu na kujifunza kuhusiana na forex trading biashara ambayo inaweza kukutajirisha kwa muda mfupi [emoji857][emoji857][emoji857][emoji857][emoji857]

Jiunge sasa na group hili la whatsapp uweze kupata msaada kuhusiana na forex.. Ni bureeee kabisaa

Fx_Money Makers
 
Acha aishiwe kila kitu getho akili imkae sawa sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee haya mkuu ila me nilikuwa na nia ya dhati kabisa kujuaa lakini nlipoona kujifunza tu mpaka nilipiee Lakii...mtu mwenyewe simjui vizuri nikaona kila dalili ya kupigwaa...nkaogopa kuwa fursa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida kila kitu mnataka mfundishwe mbona sisi wengine tumekomaa wenyewe..... Internet inafanya kazi gani sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…