Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
Hapo ndio utapeli ulipo lala sasa
unanunua nini kutoka kwa nani na ukafanyie nini
na una uza kwa nani na akafanyie nini
ni nani ana determine bei kupanda na kushuka na anatumia vigezo gani?

akili za kwako chamganya na zakuambiwa
Huo mstari wa mwisho unafanya maswali hako yasijibike kwa sababu inaonekana tayari una majibu hako mfukoni.... so unauliza kutukejeli tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie aache upuuz kuna ndugu Yangu alikuja kunambia hii kitu ya forex nikamwambia hii kitu naijua zaman sana kabla yako kuna akili kubwa inaitwa Ontario iliileta jf watu wakapigwa akiwemo mwenye jf mwenyewe bwana mello na akili kubwa mwingine anaitwa ruge naye alipigwa pia

Biashara ni uzalishaji mali na Huduma hizi zingine ni majanga tu

Ontario bhana nukuu yake moja kajamaa kanasema hii biashara ya forex hata bank hawaijui na hawatak kabisa uijue, duh salute sana ontario
Mkuu Maxence kapigwa kumbe[emoji1787][emoji1787][emoji1787], Shem buana
 
Itawachukua mda sana kujua kwamba kuna watu wanaishi kwa hichi kitu na kimeshakuwa sehemu ya maisha.. Make it a hobby first and it will make you a life, no vice versa!
IMG_20190103_200559_313.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom