Unamiliki smartphone..... hebu mambo mengine uwe unajaribu kugoogle basi, siyo kila kitu cha kukipokea kama kilivoRaha ya hivi vitu watanzania hatujifunzi nakumbuka hivi vitu
DES
HI2
GLOBAL AIM
Sas hivi ni forex
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo mstari wa mwisho unafanya maswali hako yasijibike kwa sababu inaonekana tayari una majibu hako mfukoni.... so unauliza kutukejeli tuHapo ndio utapeli ulipo lala sasa
unanunua nini kutoka kwa nani na ukafanyie nini
na una uza kwa nani na akafanyie nini
ni nani ana determine bei kupanda na kushuka na anatumia vigezo gani?
akili za kwako chamganya na zakuambiwa
Hapo nimekuuliza swli au nimeomba maelezo ya nn au ambacho hujaelewa ni nnUnamiliki smartphone..... hebu mambo mengine uwe unajaribu kugoogle basi, siyo kila kitu cha kukipokea kama kilivo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Maxence kapigwa kumbe[emoji1787][emoji1787][emoji1787], Shem buanaMwambie aache upuuz kuna ndugu Yangu alikuja kunambia hii kitu ya forex nikamwambia hii kitu naijua zaman sana kabla yako kuna akili kubwa inaitwa Ontario iliileta jf watu wakapigwa akiwemo mwenye jf mwenyewe bwana mello na akili kubwa mwingine anaitwa ruge naye alipigwa pia
Biashara ni uzalishaji mali na Huduma hizi zingine ni majanga tu
Ontario bhana nukuu yake moja kajamaa kanasema hii biashara ya forex hata bank hawaijui na hawatak kabisa uijue, duh salute sana ontario
Salute kwako mkuu , umevumilia sanamshamba hawezi kuelewa na atabaki kuiponda FOREX tu.View attachment 984652
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
Mkuu unafanya Sclaping ya aina gani mbn Lot size uliyotumia ni kubwa but profit yako ndogo sana??? Wht about laverage??Itawachukua mda sana kujua kwamba kuna watu wanaishi kwa hichi kitu na kimeshakuwa sehemu ya maisha.. Make it a hobby first and it will make you a life, no vice versa!View attachment 985048
Sent using Jamii Forums mobile app
Matumizi mabaya ya lot ila kama anafanya scalping naona ni sawaMkuu unafanya Sclaping ya aina gani mbn Lot size uliyotumia ni kubwa but profit yako ndogo sana??? Wht about laverage??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hata kama ni sclaping hata iwe ya 15mins kwa lot size ya 1.25 ikianza kuwa blue haiwez kuwa na profit ya hivy huyu jamaa somo la risk management limempita kushoto awe makini
Mkuu unaongelea 15 min watu wanascalp 1 minute...anajilipua ila inategemea mtaji wakeMkuu hata kama ni sclaping hata iwe ya 15mins kwa lot size ya 1.25 ikianza kuwa blue haiwez kuwa na profit ya hivy huyu jamaa somo la risk management limempita kushoto awe makini
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaongelea 15 min watu wanascalp 1 minute...anajilipua ila inategemea mtaji wake
Sent using Jamii Forums mobile app