Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Hii nchi imejaa misukule... Nchi ina RAIA million 50+ lakini amini nakwambia kati ya idadi hiyo ni raia hawazidi 1000 wenye sifa za kuitwa binadamu. Mingine yote iliyosalia ni Mi swala,Nyumbu na misukule ya kuswagwa na fimbo.Hahahaaaaa
Ushamba mbaya sanaaaaa
Yaani mtu unamiliki smartphone tena yawezekana na pc lakini hujui kutafuta maarifa kama ya Fx na mengine unaishia kuponda kitu ambacho haaata hukijui asee ni uzuzuuu. Tuko kwenye information age jamanii maarifa unayatafuta mwenyewee na mengine yanakujia tushatoka kwenye iron age ktambooo lakin baadhi ya watu bado wapo huko.
Tuachane na fikra za eti kutengeneza hela ni mpaka jasho likutoke eti, mambo hayo yalishapitwa na wakati tangu enzi za baba na mama zetu.
Stop working hard and start working smart. Watu wanatengeneza hela wamelala wewe hadi ukalime tembele wapi na wapi!! Lakini mwisho wa siku lazima tufanye kazi za kuzalisha ili maisha yaende japo vijana hasa wa Kiafrika mitaji inakosekana na Fx inaweza kukupatia chochote kitu ukaapata nguvu ya ka mradi ka ng'ombe wa maziwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi Bado ina safari ndefu ya kuwageuza hii misukule kuwa binadamu Kamili.
Sent using Jamii Forums mobile app