Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
Hahahaaaaa
Ushamba mbaya sanaaaaa
Yaani mtu unamiliki smartphone tena yawezekana na pc lakini hujui kutafuta maarifa kama ya Fx na mengine unaishia kuponda kitu ambacho haaata hukijui asee ni uzuzuuu. Tuko kwenye information age jamanii maarifa unayatafuta mwenyewee na mengine yanakujia tushatoka kwenye iron age ktambooo lakin baadhi ya watu bado wapo huko.
Tuachane na fikra za eti kutengeneza hela ni mpaka jasho likutoke eti, mambo hayo yalishapitwa na wakati tangu enzi za baba na mama zetu.
Stop working hard and start working smart. Watu wanatengeneza hela wamelala wewe hadi ukalime tembele wapi na wapi!! Lakini mwisho wa siku lazima tufanye kazi za kuzalisha ili maisha yaende japo vijana hasa wa Kiafrika mitaji inakosekana na Fx inaweza kukupatia chochote kitu ukaapata nguvu ya ka mradi ka ng'ombe wa maziwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nchi imejaa misukule... Nchi ina RAIA million 50+ lakini amini nakwambia kati ya idadi hiyo ni raia hawazidi 1000 wenye sifa za kuitwa binadamu. Mingine yote iliyosalia ni Mi swala,Nyumbu na misukule ya kuswagwa na fimbo.

Nchi Bado ina safari ndefu ya kuwageuza hii misukule kuwa binadamu Kamili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha utapeli, waambie watanzania ukweli,..s.h.w.a.i.n eti nimeingiza sh ngapi??!!mipichapicha yako hainitishi hapa, watumie familia yako,mimi inaninufaishaje?, kha!

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo mipicha haikutishi jombaaa.
Hata kusoma na kuelewa hicho kitu alichokituma nna uhakika huweziii yaani hapo umeona mi namba tuu hujaelewa kitu. Hiyo ni shule ya finance mzee imekupita pembeni kubali tuu uingie memkwa. Japo mkuu siyo lazima ufanye Fx maana kila mtu hufanya apendacho, lakini syo poa tena kuponda afanyacho mwenzio maana akifanya wew hupungukiwi wala kuongezewa kitu.
Jomba Forex syo network marketing.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niulizie bei ya friji tafadhali [emoji16][emoji16]
Alianza kama utani baada ya kurudi likizo ya semister ya mwisho huyu mshikaji wangu wa chuo sijui alikutana na nani huko kwao akamshauri kuhusu mambo ya forex,

Alivyorudi akanisimulia kuhusu hiyo inshu mi nilichomwambia ni kitu kimoja tu hiyo kitu ya forex mi nilishasoma sana mada zake huko Jamii forum kwa kina Ontario na kujua hasara na faida zake kuna watu wameunguza acount zao wanalia kilio cha mbwa koko hakunisikia,

Sasa bhana wale watu aliokutana nao huku wakawa wanamshauri anatoka dom to dar kwenye semina na darasa lao na kila akirudi story ni forex,forex na yeye,

Basi bhana miezi kadhaa imepita baada ya kutrade sana na ile acount ya dermal kafungua real Account kinachomkuta huko mi sijui naona tu kila siku anauza vitu,

Alianza na Laptop yake min, akafata desk top yake ,juzi kati kauza mtungi mkubwa wa gase pamoja na jiko lake, naona kabakiwa na friji pamoja na kitanda na ata hivyo naona analipigia mahesabu friji anataka kuliuza na hilo sasa sijui kimempata nini huko kwenye forex,

Daily nampa ushauri aachane na hiyo biashara yake ya forex naona hanisikii sasa mi nasubiri kuona mwisho wake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu Jana nilimuomba aweke taarifa au Salio lake la bank na Mimi niweke Salio la account yangu ya Tickmil, aliishia kuniita matusi ya kila namna.

NB. Si kwamba Mimi ni tajiri hapana. Ila Forex inanipa Pesa ambayo naamini kuna watu wanatuita wajinga hawawezi kuipata mpaka watakapopewa Pesa za pensheni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Fresh tu hamnitamanishi wala nini
 
Alianza kama utani baada ya kurudi likizo ya semister ya mwisho huyu mshikaji wangu wa chuo sijui alikutana na nani huko kwao akamshauri kuhusu mambo ya forex,

Alivyorudi akanisimulia kuhusu hiyo inshu mi nilichomwambia ni kitu kimoja tu hiyo kitu ya forex mi nilishasoma sana mada zake huko Jamii forum kwa kina Ontario na kujua hasara na faida zake kuna watu wameunguza acount zao wanalia kilio cha mbwa koko hakunisikia,

Sasa bhana wale watu aliokutana nao huku wakawa wanamshauri anatoka dom to dar kwenye semina na darasa lao na kila akirudi story ni forex,forex na yeye,

Basi bhana miezi kadhaa imepita baada ya kutrade sana na ile acount ya dermal kafungua real Account kinachomkuta huko mi sijui naona tu kila siku anauza vitu,

Alianza na Laptop yake min, akafata desk top yake ,juzi kati kauza mtungi mkubwa wa gase pamoja na jiko lake, naona kabakiwa na friji pamoja na kitanda na ata hivyo naona analipigia mahesabu friji anataka kuliuza na hilo sasa sijui kimempata nini huko kwenye forex,

Daily nampa ushauri aachane na hiyo biashara yake ya forex naona hanisikii sasa mi nasubiri kuona mwisho wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu inahitaji muda sana....Nam npo huko huu ni mwaka tabrikan wa tatu........Nmetrade sana nmepata faida na hasara pia now najifua tena mdogomdogo..ukiikurupukia unaweza uza mpaka CHUPI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Please Please Please huwa sijibu kitu inbox kuhusu forex. Napenda transparency. Ndio maana nashare links na mengine mengi ili kila mtu anufaike.

Sijibu chochote inbox, come and confess here. Tusaidiane hapa hapa sote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu shida nikwamba namba za simu hatupendi ziwe kwa jukwaa afu kuwa na moyo wa kusaidia wengine naamini hadi unafikia level za kutengeneza zaidi ya $2000 ulishawahi kuomba msaada usiwe na desturi hiyo mkuu, Mimi mmojawapo nimekufata inbox na nimekuomba unielekeze namna ya kutrade ktk meter 4 kama hutojali unipe msaada wako tuu huo basii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nchi imejaa misukule... Nchi ina RAIA million 50+ lakini amini nakwambia kati ya idadi hiyo ni raia hawazidi 1000 wenye sifa za kuitwa binadamu. Mingine yote iliyosalia ni Mi swala,Nyumbu na misukule ya kuswagwa na fimbo.

Nchi Bado ina safari ndefu ya kuwageuza hii misukule kuwa binadamu Kamili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Natumaini nipo kwenye hao 1000[emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu shida nikwamba namba za simu hatupendi ziwe kwa jukwaa afu kuwa na moyo wa kusaidia wengine naamini hadi unafikia level za kutengeneza zaidi ya $2000 ulishawahi kuomba msaada usiwe na desturi hiyo mkuu, Mimi mmojawapo nimekufata inbox na nimekuomba unielekeze namna ya kutrade ktk meter 4 kama hutojali unipe msaada wako tuu huo basii

Sent using Jamii Forums mobile app
Haa ha ha... wanaojua Forex wanaringaa utadhani wakikufundishaa utawashinda utajirii... kumbe umaskinii tuu mpaka bhasii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu shida nikwamba namba za simu hatupendi ziwe kwa jukwaa afu kuwa na moyo wa kusaidia wengine naamini hadi unafikia level za kutengeneza zaidi ya $2000 ulishawahi kuomba msaada usiwe na desturi hiyo mkuu, Mimi mmojawapo nimekufata inbox na nimekuomba unielekeze namna ya kutrade ktk meter 4 kama hutojali unipe msaada wako tuu huo basii

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sio kwamba Nina kiburi. Hapana. Sina kiburi kabisa na wala sijivuni kwa lolote.

Nikwambie tu ninajua vichache sana kwenye forex ndio maana kila siku haipiti kama sijasoma kitu cha forex au kutazama channel ya Blomberg kuongeza maarifa ya financial market.

Kama umekuwa ukifuatilia comments zangu kuhusu forex. Sijawahi hata siku moja kuweka referal link, WhatsApp link au Channel yoyote ya kumvuta MTU ili nimuombe hela. Sijawahi abadani. Huwa najitoa kueleza kile nijuacho ila mwisho wa siku unaitwa tapeli na majina mengine mabaya. Awali nilikuwa nachati na watu PM ila hao hao wanakuja hapa na ngozi nyingine kukuita Tapeli wakati sijawahi kumuomba MTU hata mia.

Ndio maana nikaamua mijadala yote nitakuwa naifanyia hadharani. Kama kuna kitu naomba unitag nitakuja kujibu. Sina uchoyo wa maarifa. Na ninapenda vijana tuwe vizuri.

NB: Naomba uniambie mt4 inakusumbua kwenye nini na nini ?

Boss kile kitabu nimekikosa hauwezi kukiweka hapa?

Mt4 ninayo kwa simu shida namna ya kufanya trading tuu, kuweka order, kubuy kusell, yani vitu vidogo vidogo ktk trading mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom