Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
Haa ha ha... wanaojua Forex wanaringaa utadhani wakikufundishaa utawashinda utajirii... kumbe umaskinii tuu mpaka bhasii

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndipo tabu ilipo, mtu anakubania halafu mchezo wenyewe uko kama kamari kuna mda unapigwa mashine na magraph unachoma account kabisa. Kufundishana watu wanaleta roho mbaya wengine ndio wanatumia kama mwanya wa kuwapiga wenzao hela!
 
Ukisoma psychology hasa kwenye kipengele cha "comfort zone" kuna usemi mmoja wanasema "a person is either growing or dying and not otherwise".

Ukiangalia comment za watu wengi humu unaweza kuona jinsi kundi la watu wengi walivyo katika comfort zone. Always comfort zone inakuhold from growing up, inakutengenezea fear ya kutry something new. When you try something new is one of the step towards stepping out of your comfort zone.

Currently you may be happy with your stuation, Lakini tambua kwamba kuna kipindi kitafika furaha yote itakimbia... you will be living like a dead person.

"Martin Luther Jr aliwahi kusema maneno haya,

"You may be 38 years old, as I happen to be. And one day, some great opportunity stands before you and calls you to stand up for some great principle, some great issue, some great cause. And you refuse to do it because you are afraid….

Well, you may go on and live until you are 90, but you’re just as dead at 38 as you would be at 90. And the cessation of breathing in your life is but the belated announcement of an earlier death of the spirit"

Shida ni kwamba watu wengi ni wavivu kusoma...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
From my experience; kwa nchi ndogo na inayokuwa kama hii kwann tunakuwa na mifano hasi mingin kuliko mifano chanya yawezekana kweli forex ni uhuni au wizi wa kisasa lakini kwanini tunakosa hata mifano chanya ya kutoleana tanzania tunaishi kizaman sana kuliko sehemu kubwa ya dunia. Somedtimes we need to learn too fast to reach somewhere ,,i didnt do forex but its really bussiness na nina mifano hai kuhusu hii biashara i have my uncle in US ameweza kujenga hospital america kwa hii biashara just imagine hospital in US yy kama mentor wetu anatutumia videos,tutorials, na mawasiliano ya forex guru wengne but mm sipo interested sana ila kuna mdogo wangu mpaka kawa guru anafanya vzur sana kwny bussness ukimpa 35 mpaka lak1 kwa siku anapata 400- 1 mil na kuna sku analoose pia ila yote hela kikubwa kuna umri tunatakiwa kujifunza na kutokuhofia kukosea learn as much as U can hii ndo principle nzur ya maisha so muachen kijana apambane kwan frigi,computer ndo nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndipo tabu ilipo, mtu anakubania halafu mchezo wenyewe uko kama kamari kuna mda unapigwa mashine na magraph unachoma account kabisa. Kufundishana watu wanaleta roho mbaya wengine ndio wanatumia kama mwanya wa kuwapiga wenzao hela!
Yanii hapo ndo Naamini hela wanazopata Haoo wa Forex nyingi za Kufundishaa watu kulikoo Kulaa kwa Forex yao hiyooo..!! Wangekuwa wanapiga pesaaa za kutosha wasingekuwa na uchuu na Vilakii vyetuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duuh kajenga Hosp kwa Forex...[emoji23][emoji23][emoji23] Huyo itakuwa alikuwa anashinda Library kusomaa piaa anajua Forex kuliko kitu chochotee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duuh kajenga Hosp kwa Forex...[emoji23][emoji23][emoji23] Huyo itakuwa alikuwa anashinda Library kusomaa piaa anajua Forex kuliko kitu chochotee

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila jamaa akiletaga familia yake huku bongo na kucheza forex kwa internet ya huku uwa anapata loss sana anavyodai so mara nyng haenjoy akiwa bongo hapa gheto katuachia vitabu zaid ya 100 na vyote ametuambia tuvisome ili tuielewe forex undani wake yy kashamaliza coz alianza tangu mwaka 2008 hii forex mzee miaka mi3 baada ya kutia maguu US

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forex ni fursa nzuri sana kwa vijana wasio na ajira. Tatizo watanzania wengi ni wavivu hawataki kujituma hata kwenye forex wanataka wapate pesa tu kirahisi yaani aweke pesa apate pesa bila kujifunza, kufuatilia na kujisomea. Ukiwa 'serious' kwenye forex ni zaidi ya ajira yoyote ile. Africa Kusini wao walianza zamani sana na wako mbali sana kwenye forex ndio maana ukitaka kujifunza forex SA ni gharama kubwa sana kwa sababu wanajua ni biashara inayolipa.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Beira we fala sana
 
Bongo forex naona watu hawawiii mabilioneaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara ipo ktk misingi ya ku forecast..unanunua kwa bei ndogo uuze kwa bei kubwa na una iwe ni biashara ya vitunguu, michele, magari n.k. Ukishindwa ku forecast sawasawa soko likaenda against your favor unakula za uso haijalishi ni biashara ya forex au mazagazaga. Hapo ndo watu wanashindwa kutofautisha betting na biashara hii ya forex. Ok sawaa tuseme bass hata biashara ya korosha ni betting maana watu walilima lakini ikala kwao..na mahindi ivo ivo na bidhaa zote ivo ivo hakuna garantii kama utauza au itadoda. Forex ni biashara kama biashara nyingine tunaforecast baada ya kulipembua soko na kuona wapi litalalia na sisi tukalale huko kwa faida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Good analysis

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnashindwa kudhibitisha mnachoongea mnaleta hoja dhaifu.imebaki kuonesha graph tu. Tell us what u got thru folex.
Weee jamaaa umekuwa mbishi kupitiliza unataka usibitisho umepewa bado sasa sijui unataka nini iyo anayokuonyesha hapo ni sawa na duka la nguo mwenye duka pale ndio ofisi yake yakufanyia kazi kutwa lazima umkute pale ndio kama alivyoonyesha jamaaa maana anatembea na ofisi yake sehem yoyote ile inayomletea pesa sasa wewe unaetaka ushuhuda utadhani uko kwa mwamposa au mama rwakatale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…