From my experience; kwa nchi ndogo na inayokuwa kama hii kwann tunakuwa na mifano hasi mingin kuliko mifano chanya yawezekana kweli forex ni uhuni au wizi wa kisasa lakini kwanini tunakosa hata mifano chanya ya kutoleana tanzania tunaishi kizaman sana kuliko sehemu kubwa ya dunia. Somedtimes we need to learn too fast to reach somewhere ,,i didnt do forex but its really bussiness na nina mifano hai kuhusu hii biashara i have my uncle in US ameweza kujenga hospital america kwa hii biashara just imagine hospital in US yy kama mentor wetu anatutumia videos,tutorials, na mawasiliano ya forex guru wengne but mm sipo interested sana ila kuna mdogo wangu mpaka kawa guru anafanya vzur sana kwny bussness ukimpa 35 mpaka lak1 kwa siku anapata 400- 1 mil na kuna sku analoose pia ila yote hela kikubwa kuna umri tunatakiwa kujifunza na kutokuhofia kukosea learn as much as U can hii ndo principle nzur ya maisha so muachen kijana apambane kwan frigi,computer ndo nn
Sent using
Jamii Forums mobile app