Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
Mkuu ulopotelea wapi nilizoea kukuta namba moja kila post?
 
Atauza kila kitu mwambie aache kucheza forex maana forex haichezwi kila anayecheza lazima akione cha moto.
FOREX inahitaji watu serious ambao wana dedicate muda na kuielewa wana trade. lakini kwa wanaocheza watalia kilio cha mbwa aliyepigwa jiwe gizan
 
Unawezaje kufananisha forex na q net???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuza $40 mpaka ikakaribia 500, stop loss ikatembea na mzigo wote siku ya news CAD baada ya hapo kila nikijipanga wanaondoka na mzigo mazima, nikasema nitakuja kulaza njaa watoto!
Bila shaka ulijilipua.... halafu shida moja ni kwamba ukishachoma account.... huwa inasumbua kdg kuja kukaa sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya kufanya biashara ya Forex huu ujumbe unapatikana kwa kila broker awapatie trader wake.. Sasa sijui kama nyie huwa mnaelewa kinachoandikwa hapo.


Yaani mtu mzima unafananisha Ujinga ujinga na upuuzi wa Qnet na Forex ?? Biashara ambayo ni halali kwenye nchi ya dunia za kwanza miaka na miaka. Hiyo Qnet ni pyramid scheme bussines ambayo katika nchi kama marekani ni kosa la jinai kufanya Ponzi bussines na ukikamatwa ni kifungo.



Ninachojifunza hapa, watanzania ni wavivu wa kutafuta maarifa kabisa. Hufanya maamuzi kwa kusikia watu wanasema nini. Mtu akisikia Deci anaenda. Akisikia D9 anaenda . Akisikia Forex anaenda ila hana sababu zake za kiutafiti kwanini kafanya hayo maamuzi.


Amini nakwambia ukifanya utafiti wako kuhusu biashara ya forex bila kuwa bias utakuja kunitafuta siku moja. Kama una king'amuzi cha Dstv weka channel namba 411 (Bloomberg Tv) naamini utaelewa Forex ni nini.




Sasa Kama MTU anasema forex ni utapeli hivi ukisikia biashara ya stocks, commodities, indices na shares si ndio mtasema ni ujambazi. Hebu nikusaidie tafuta gazeti la either The citizen au Daily News nenda kwenye ukurasa wa bussines utakuta FOREX,INDICES,SHARES & commodities zinachambuliwa vyema kabisa.

Maarifa Maarifa Maarifa .... Tafuteni maarifa. Inauma sana mwaka 2019 bado kuna kiumbe duniani anasema FINANCIAL MARKETS ni utapeli . Bado kuna mtu anashidwa tofautisha Marketing Network na Financial Markets.






Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kila mtu na mawazo yake mimi ukiniambia niache forex ni sawa na kuninyonga tena kwa mateso makali pamoja na changamoto zote lakini sa hv inanuchukua hadi nafikisha miezi mitatu sijaenda bank kuchukua mshahara nina balance ya $2000 na taget yangu ni 5% kwa siku hebu niambie napata sh ngap kwa mwezi maisha ni raha sana aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah.... umeongea ukweli kabisa.... Kama kuna mtu anacheza forex basi huyo anagamble...huo ndo ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…