Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
- Thread starter
- #101
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ulopotelea wapi nilizoea kukuta namba moja kila post?Haka kabiashara ukiingia kichwa kichwa utapigwa za uso sana..
Vijana kuweni makini, na sio FOREX na pia BITCOIN pamoja na NETWORK MARKETING kuweni makini nazo
USIJE UKASEMA HATUJAKWAMBIA, 2019 NI MWAKA WA MABADILIKO
Alishawahi kusema mtu ukiona unasisitizwa sana na kushawishiwa sana juu ya FURSA , kaa ujue kuwa wewe ndio FURSA!!!
NIPO HATA SIJAPOTEA MKUU, AAH NAMBA MOJA NIMEACHA SIKU HIZI..MAMBO MENGIMkuu ulopotelea wapi nilizoea kukuta namba moja kila post?
Atauza kila kitu mwambie aache kucheza forex maana forex haichezwi kila anayecheza lazima akione cha moto.Alianza kama utani baada ya kurudi likizo ya semister ya mwisho huyu mshikaji wangu wa chuo sijui alikutana na nani huko kwao akamshauri kuhusu mambo ya forex,
Alivyorudi akanisimulia kuhusu hiyo inshu mi nilichomwambia ni kitu kimoja tu hiyo kitu ya forex mi nilishasoma sana mada zake huko Jamii forum kwa kina Ontario na kujua hasara na faida zake kuna watu wameunguza acount zao wanalia kilio cha mbwa koko hakunisikia,
Sasa bhana wale watu aliokutana nao huku wakawa wanamshauri anatoka dom to dar kwenye semina na darasa lao na kila akirudi story ni forex,forex na yeye,
Basi bhana miezi kadhaa imepita baada ya kutrade sana na ile acount ya dermal kafungua real Account kinachomkuta huko mi sijui naona tu kila siku anauza vitu,
Alianza na Laptop yake min, akafata desk top yake ,juzi kati kauza mtungi mkubwa wa gase pamoja na jiko lake, naona kabakiwa na friji pamoja na kitanda na ata hivyo naona analipigia mahesabu friji anataka kuliuza na hilo sasa sijui kimempata nini huko kwenye forex,
Daily nampa ushauri aachane na hiyo biashara yake ya forex naona hanisikii sasa mi nasubiri kuona mwisho wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ndo dawakuna kipindi ilikua hivo mpk wakawa wanahis nmerogwa ila walipoanza kuona noti wakatulia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuuNIPO HATA SIJAPOTEA MKUU, AAH NAMBA MOJA NIMEACHA SIKU HIZI..MAMBO MENGI
Forex na Betting ni aheri betting maana una chance kubwa ya kufanya analysis kirahisi. Kulielewa graph sio mchezo
mkuu ukiweka kama bahati utapigwa uhisi kufakufaWanachezaje hiyo Forex Naomba nielekezwe Nijaribu Bahati Yangu.
Unawezaje kufananisha forex na q net???Cheza na ww ili usiandikie mate nakati wino upo.
Prondo ni heri ukishindwa sana kufanya biashara yoyote basi uwe kama wale Mateja day worker wanaopiga debe kuhusu ukonda pale stendi Rafiki.
Hakuna utapeli unaoshamiri kwa kasi sana kama hizi biashara za mitandaoni.
Kuna Rafiki yangu m1 yuko Mwanza alinishawishi niingie QNET kwa mbwembwe nyiiingi za mafanikio ya rafiki zake nilitaka kuingia kwa 6,000,000/= lakini bahati mbaya nilipungukiwa kiasi cha 900,000/= na nilijitahidi kuitafuta zaidi ya wiki 1 niliipata kukamilisha 6,000,000/= lakini roho yangu ilisita sana.
Kifuatacho sasa hivi yule Rafiki yangu aliuza gari, nyumba na hadi sasa hivi anaishi kama shetani kwenye nyumba za kupanga.
Tafadhali kijana fanya biashara halisi(physically contact with customers) lakini hizi biashara za mitandao(online businesses) ni utapeli mtupu kwa 100%.
Sent using Jamii Forums mobile app
zero IQ : tegemea kupata kijana ambae cyo mgosi wa kumenya viazi hpo kwenye kijiwe chako cha chips, sbbu akimaliza kuuza vyote lzma akili itamkumbusha kua kijakazi wako
Bila shaka ulijilipua.... halafu shida moja ni kwamba ukishachoma account.... huwa inasumbua kdg kuja kukaa sawaNilikuza $40 mpaka ikakaribia 500, stop loss ikatembea na mzigo wote siku ya news CAD baada ya hapo kila nikijipanga wanaondoka na mzigo mazima, nikasema nitakuja kulaza njaa watoto!
Kabla ya kufanya biashara ya Forex huu ujumbe unapatikana kwa kila broker awapatie trader wake.. Sasa sijui kama nyie huwa mnaelewa kinachoandikwa hapo.Cheza na ww ili usiandikie mate nakati wino upo.
Prondo ni heri ukishindwa sana kufanya biashara yoyote basi uwe kama wale Mateja day worker wanaopiga debe kuhusu ukonda pale stendi Rafiki.
Hakuna utapeli unaoshamiri kwa kasi sana kama hizi biashara za mitandaoni.
Kuna Rafiki yangu m1 yuko Mwanza alinishawishi niingie QNET kwa mbwembwe nyiiingi za mafanikio ya rafiki zake nilitaka kuingia kwa 6,000,000/= lakini bahati mbaya nilipungukiwa kiasi cha 900,000/= na nilijitahidi kuitafuta zaidi ya wiki 1 niliipata kukamilisha 6,000,000/= lakini roho yangu ilisita sana.
Kifuatacho sasa hivi yule Rafiki yangu aliuza gari, nyumba na hadi sasa hivi anaishi kama shetani kwenye nyumba za kupanga.
Tafadhali kijana fanya biashara halisi(physically contact with customers) lakini hizi biashara za mitandao(online businesses) ni utapeli mtupu kwa 100%.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa ni siri ya kambi ila nasubiri kuja kuonesha account ikiwa na 6 to 7 digit...Tangu umeanza ushaingiza $€¥ ngapi?
Achana nayo mawatu mengine ukute ni mawakala ya hizo biashara yanatumika tu kama chambo humu kuwavutia wateja ili wazidi kutapeli Watu.Unaingiza £$€ ngapi kwa mwezi?
Watu wanaingia FOREX kutrade kwa bahati wakitegemea watapiga pesa kwa ngekewa.
Lile tusi baya limenijia mdomoni sema tu huu ulokole umezuia nisitamkeForex ni kama ulokole tu.
Mniwie radhi walokole wote humu sina maana ya kuwakashifu.
Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
Hahahah.... umeongea ukweli kabisa.... Kama kuna mtu anacheza forex basi huyo anagamble...huo ndo ukweliAtauza kila kitu mwambie aache kucheza forex maana forex haichezwi kila anayecheza lazima akione cha moto.
FOREX inahitaji watu serious ambao wana dedicate muda na kuielewa wana trade. lakini kwa wanaocheza watalia kilio cha mbwa aliyepigwa jiwe gizan
cc ,De Facto ListSana
Nilikua na kundi moja
Nikipoteza wananipa moyo tunajazana ujinga
Kesho unavunja kibubu unadeposit tena