Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
Biashara ambayo umeweka tu hela eti unategemea ijizalishe ulitegemea nini kikupate.... hakuna hela rahisi duniani.... hata forex siyo hela rahisi wala haina nature hiyo ya bitclub advantage...

Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo nyingi tu hizo biashara, kwani hakuna biashara za kuweka pesa kwenye FIXED ACCOUNT afu ukavuna faida baada ya miezi, mwaka na miaka?

Huwezi kuweka hisa kwenye makampuni kama cigarettes na TBL ukanufaika faida tele kwa muda utaokusudia kwenda kutoa baadaye?

Acha kukariri maisha kijana, amka usingizini maana 2019 ni mwaka wa mafanikio kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wahanga kibao wa BITCLUB ADVANTAGE mpaka leo bado wana matumaini eti itarudi. Ni sawa na kwenda ferry kuisubiri drimulaina ije.
Acha waendelee kusubiri,,,, Yaani mtu ukae tu umepumzika halafu mwanaume mwenzio anakutafutia hela.... acha tu waliwe aiseeee.... maana wameamua kuzitumia akili zao kuvukia barabara tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tafuta ule uzi wa Ontario una kila kitu mle ndani pambanua mchele pumba pembeni kuna vitabu pia mle

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana mkuu, ila upi ushauri wako juu ya hili wazo langu?
 
Mzee baba nasikitika mnoo kuona hawa ndo wasomi wetu aisee watu wanafanya maamuzi kwa hisia binafsi forex ndo inanipa sababu za kuishi kabla sijaanza kidogo ndoa yangu ivunjike ila inenuchukua mwaka mzima kumfanya wife aache kazi na nikampa mtaji wa m 20 na sijuwahi kumuomba hata shilling anabaki kushangaa tuu Forex inahitaji mpambanaji anaejitambua na anaejua anachofanya siyo get rich quick

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kuna vitu natamani kushare humu ila naona michosho tu. Natamani mtu aache forex kwa justifiable Reasons na sio blablabla za kujazana ujinga wakati hii ni fursa ambayo naamini vijana wengi kama tungejifunza vizuri ingekuwa ni fursa ya kujiajiri.

Mkuu hapa Tanzania kuna Kijana anamiaka 21, anaishi karikaoo. Ana capital ta USD 30,000. Yaani zaidi ya million 60 za kitanzania. Zote hizo amezipata kwa kujituma kwenye Forex.

Niliwahi kuandika humu hii tabia ya utitiri wa WALIMU uchwara wa forex ndio unaoichafua Forex . WALIMU hawa Wanawaharibu watu kuanzia kwenye psychology kuwa ni Get Rich bussines which is wrong. Zaidi ya 70% ya mafanikio ya Forex ni kwenye psychology. MTU akikuharibu hapo hata ujue mbinu zote za soko ni kazi bure. Kama alivyofanya Ontario kutuambia forex ni mwendo wa kudownload Pesa na baada ya watu kuingia mzigoni wakakuta mambo sio.
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si umesema mwenyewe anacheza...sasa kama hajui risk mgt huyo atauza mpaka chupi...niunganishe nae walau nimtengenezee ka $ elfu 10..Huyo ni wakumsaidia anaonekana ana nia kweli daah
 
Zipo nyingi tu hizo biashara, kwani hakuna biashara za kuweka pesa kwenye FIXED ACCOUNT afu ukavuna faida baada ya miezi, mwaka na miaka?

Huwezi kuweka hisa kwenye makampuni kama cigarettes na TBL ukanufaika faida tele kwa muda utaokusudia kwenda kutoa baadaye?

Acha kukariri maisha kijana, amka usingizini maana 2019 ni mwaka wa mafanikio kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana nasema tena watu wengi wanakurupuka wakisikia tu biashara fulani.

Hivi faida mliyokuwa mnapata Bitclub advantage inafanana na Mtu anayenunua hisa au mtu aliyeweka hela kwenye fixed account??

Halafu kama mtu ananunua hisa, obvious huko anakununua hisa hiyo kampuni lazima iwe na regulator wake, Hata ukiweka hela Bank kwenye fixed account, banks zote zipo regulated na BoT.

Hebu niambie hiyo hiyo Bitclub advantage ilikiwa regulated na nani???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hisa uwe na mpunga wa kutosha hv kiasi, Bitclubadvantage wana website yao na ni business pana tu(Worldwided) hata BBC huwa wanaielezea kiundani.

So jiongeze ww mwenyewe kuingia kwenye website ujikite kwa faida zako binafsi.

Lkn kwangu mm ni NO
Ndo maana nasema tena watu wengi wanakurupuka wakisikia tu biashara fulani.

Hivi faida mliyokuwa mnapata Bitclub advantage inafanana na Mtu anayenunua hisa au mtu aliyeweka hela kwenye fixed account??

Halafu kama mtu ananunua hisa, obvious huko anakununua hisa hiyo kampuni lazima iwe na regulator wake, Hata ukiweka hela Bank kwenye fixed account, banks zote zipo regulated na BoT.

Hebu niambie hiyo hiyo Bitclub advantage ilikiwa regulated na nani???

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kuna vitu natamani kushare humu ila naona michosho tu. Natamani mtu aache forex kwa justifiable Reasons na sio blablabla za kujazana ujinga wakati hii ni fursa ambayo naamini vijana wengi kama tungejifunza vizuri ingekuwa ni fursa ya kujiajiri.

Mkuu hapa Tanzania kuna Kijana anamiaka 21, anaishi karikaoo. Ana capital ta USD 30,000. Yaani zaidi ya million 60 za kitanzania. Zote hizo amezipata kwa kujituma kwenye Forex.

Niliwahi kuandika humu hii tabia ya utitiri wa WALIMU uchwara wa forex ndio unaoichafua Forex . WALIMU hawa Wanawaharibu watu kuanzia kwenye psychology kuwa ni Get Rich bussines which is wrong. Zaidi ya 70% ya mafanikio ya Forex ni kwenye psychology. MTU akikuharibu hapo hata ujue mbinu zote za soko ni kazi bure. Kama alivyofanya Ontario kutuambia forex ni mwendo wa kudownload Pesa na baada ya watu kuingia mzigoni wakakuta mambo sio.
.

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nao si tupige kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom