Yaani kuna vitu natamani kushare humu ila naona michosho tu. Natamani mtu aache forex kwa justifiable Reasons na sio blablabla za kujazana ujinga wakati hii ni fursa ambayo naamini vijana wengi kama tungejifunza vizuri ingekuwa ni fursa ya kujiajiri.
Mkuu hapa Tanzania kuna Kijana anamiaka 21, anaishi karikaoo. Ana capital ta USD 30,000. Yaani zaidi ya million 60 za kitanzania. Zote hizo amezipata kwa kujituma kwenye Forex.
Niliwahi kuandika humu hii tabia ya utitiri wa WALIMU uchwara wa forex ndio unaoichafua Forex . WALIMU hawa Wanawaharibu watu kuanzia kwenye psychology kuwa ni Get Rich bussines which is wrong. Zaidi ya 70% ya mafanikio ya Forex ni kwenye psychology. MTU akikuharibu hapo hata ujue mbinu zote za soko ni kazi bure. Kama alivyofanya Ontario kutuambia forex ni mwendo wa kudownload Pesa na baada ya watu kuingia mzigoni wakakuta mambo sio.
.
Sent using
Jamii Forums mobile app