Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
Achana nao si tupige kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu Jana nilimuomba aweke taarifa au Salio lake la bank na Mimi niweke Salio la account yangu ya Tickmil, aliishia kuniita matusi ya kila namna.


NB. Si kwamba Mimi ni tajiri hapana. Ila Forex inanipa Pesa ambayo naamini kuna watu wanatuita wajinga hawawezi kuipata mpaka watakapopewa Pesa za pensheni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hisa uwe na mpunga wa kutosha hv kiasi, Bitclubadvantage wana website yao na ni business pana tu(Worldwided) hata BBC huwa wanaielezea kiundani.

So jiongeze ww mwenyewe kuingia kwenye website ujikite kwa faida zako binafsi.

Lkn kwangu mm ni NO

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuuliza kwani bitclub advantage ipo regulated na nani? Kwa mfano ww ulipodhulumiwa hela yako malamiko yako ulipeleka wapi?

Mfano kama mimi leo nikidhulumiwa hela yangu na broker wangu. Najua ni wapi kwa kupeleka complaints zangu na hela yangu nikalipwa.... Unless mimi na akili zangu niamue kutrade na broker ambaye hayupo regulated

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu Jana nilimuomba aweke taarifa au Salio lake la bank na Mimi niweke Salio la account yangu ya Tickmil, aliishia kuniita matusi ya kila namna.


NB. Si kwamba Mimi ni tajiri hapana. Ila Forex inanipa Pesa ambayo naamini kuna watu wanatuita wajinga hawawezi kuipata mpaka watakapopewa Pesa za pensheni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba kumbe tuko pamoja mimi pia natumia tickmill hebu fikilia mtu una uhakika wa $100 kila siku unataka nn japo kuanzia tarehe 15 this month naanza safari ya kutafuta $35000 hadi disemba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu Jana nilimuomba aweke taarifa au Salio lake la bank na Mimi niweke Salio la account yangu ya Tickmil, aliishia kuniita matusi ya kila namna.


NB. Si kwamba Mimi ni tajiri hapana. Ila Forex inanipa Pesa ambayo naamini kuna watu wanatuita wajinga hawawezi kuipata mpaka watakapopewa Pesa za pensheni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi kabisa Ndugu, lakini jaribu kuwashauri mbinu mbadala si lazima wafanikiwe kupitia channel uliyofanikiwa nayo ww maana "Succsessful Man must have more plans than only one"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee baba kumbe tuko pamoja mimi pia natumia tickmill hebu fikilia mtu una uhakika wa $100 kila siku unataka nn japo kuanzia tarehe 15 this month naanza safari ya kutafuta $35000 hadi disemba

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana. Mwaka 2019 utakuwa safi kabisa. Kama tukijipanga vizuri na issue ya Brexit Pesa ipo ya kutosha. Maana tarehe 29.03/2018 kama Muingereza akijitoa rasmi European Union ni kusell pair za GBP mpaka watu watuite vichaa.


BTW hongera sana kaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ilivyo Tanzania kuna body ya TCRA ambayo kazi yake ni kufuatilia na kuregulate masuala ya mawasiliano nchi nzima. Kufuatilia makampuni ya simu yasitufanyie figisu sisi watumiaji wa mitandao ya simu.


Pale marekani kuna Bodies ambazo kazi yake ni kufuatilia makampuni ya forex yasifanyie figisu sisi wafanya biashara. Nawawekeni picha muone. Jamani hebu tutumieni simu zetu kusoma. Search hizo website msome kazi ya hizo mamlaka.



Hii hapa ni link ya hizo bodies katika nchi tofauti tofauti duniani. https://forextradingstrategies4u.co...ry-bodies-for-forex-regulation/#United_States
IMG_20190101_162717.jpg
IMG_20190101_162703.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alianza kama utani baada ya kurudi likizo ya semister ya mwisho huyu mshikaji wangu wa chuo sijui alikutana na nani huko kwao akamshauri kuhusu mambo ya forex,

Alivyorudi akanisimulia kuhusu hiyo inshu mi nilichomwambia ni kitu kimoja tu hiyo kitu ya forex mi nilishasoma sana mada zake huko Jamii forum kwa kina Ontario na kujua hasara na faida zake kuna watu wameunguza acount zao wanalia kilio cha mbwa koko hakunisikia,

Sasa bhana wale watu aliokutana nao huku wakawa wanamshauri anatoka dom to dar kwenye semina na darasa lao na kila akirudi story ni forex,forex na yeye,

Basi bhana miezi kadhaa imepita baada ya kutrade sana na ile acount ya dermal kafungua real Account kinachomkuta huko mi sijui naona tu kila siku anauza vitu,

Alianza na Laptop yake min, akafata desk top yake ,juzi kati kauza mtungi mkubwa wa gase pamoja na jiko lake, naona kabakiwa na friji pamoja na kitanda na ata hivyo naona analipigia mahesabu friji anataka kuliuza na hilo sasa sijui kimempata nini huko kwenye forex,

Daily nampa ushauri aachane na hiyo biashara yake ya forex naona hanisikii sasa mi nasubiri kuona mwisho wake.


Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh mwambie forex inawenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya kufanya biashara ya Forex huu ujumbe unapatikana kwa kila broker awapatie trader wake.. Sasa sijui kama nyie huwa mnaelewa kinachoandikwa hapo.


Yaani mtu mzima unafananisha Ujinga ujinga na upuuzi wa Qnet na Forex ?? Biashara ambayo ni halali kwenye nchi ya dunia za kwanza miaka na miaka. Hiyo Qnet ni pyramid scheme bussines ambayo katika nchi kama marekani ni kosa la jinai kufanya Ponzi bussines na ukikamatwa ni kifungo.



Ninachojifunza hapa, watanzania ni wavivu wa kutafuta maarifa kabisa. Hufanya maamuzi kwa kusikia watu wanasema nini. Mtu akisikia Deci anaenda. Akisikia D9 anaenda . Akisikia Forex anaenda ila hana sababu zake za kiutafiti kwanini kafanya hayo maamuzi.


Amini nakwambia ukifanya utafiti wako kuhusu biashara ya forex bila kuwa bias utakuja kunitafuta siku moja. Kama una king'amuzi cha Dstv weka channel namba 411 (Bloomberg Tv) naamini utaelewa Forex ni nini.




Sasa Kama MTU anasema forex ni utapeli hivi ukisikia biashara ya stocks, commodities, indices na shares si ndio mtasema ni ujambazi. Hebu nikusaidie tafuta gazeti la either The citizen au Daily News nenda kwenye ukurasa wa bussines utakuta FOREX,INDICES,SHARES & commodities zinachambuliwa vyema kabisa.

Maarifa Maarifa Maarifa .... Tafuteni maarifa. Inauma sana mwaka 2019 bado kuna kiumbe duniani anasema FINANCIAL MARKETS ni utapeli . Bado kuna mtu anashidwa tofautisha Marketing Network na Financial Markets.




View attachment 982938

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Daudi kwa maelezo yako mujarabu, shida hawataki kufanya tafiti hata walioburn account ni uroho wa kutaka kupata faida kubwa kwa muda mchache mwisho wa siku mtu anajitundikia lot size tembo huku mtaji haumlindi na hyo lot aliyoweka, matokeo yake chombo kiienda south tu tayari kinazama!! Hainiingii akilini kufananisha forex na networking marketing. FOREX ni topic kabisa kwa watu wanaosoma Finance katika course za International finance na International trade, kama ingekuwa ni ponzi scheme unadhan benki zingefanya? Unadhani forex ingeorodheshwa miongoni mwa financial markets tool? Elimu, Elimu jamani, na ukishindwa kufanya si kila mtu atashindwa wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom