evonik
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 3,996
- 5,156
Jazia nyama kidogo mkuuForex ni kama ulokole tu.
Mniwie radhi walokole wote humu sina maana ya kuwakashifu.
Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jazia nyama kidogo mkuuForex ni kama ulokole tu.
Mniwie radhi walokole wote humu sina maana ya kuwakashifu.
Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
Huyo Lllian ana pesa kumzidi mmiliki wa Facebook?Ndio maana nikasema ukitumia risk management nzuri hata kuunguza account itakuwa ngumu sana sana.
Mtu ana mtaji wa dola 100 anatumia lot size ya 0.09 hapo anatarajia nini. Ila kama akienda na lot size ya 0.01 au 0.02 with trend lazima atusue.
Hata kama ikienda against ni ngumu kuunguza.
Nikwambie tu Stop loss ni mbinu ya big financial institutions kwenye forex kutupiga sisi retail traders. Nakuomba utafute kitabu cha Quoter theory kilichoandikwa na Illian Yutov (Mtaalamu). Ujinze kutrade kwa Quoters
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahh...Ontario bhana nukuu yake moja kajamaa kanasema hii biashara ya forex hata bank hawaijui na hawatak kabisa uijue, duh salute sana ontario
Mkiwafundisha mnawapa hamu ya kupiga hela kwa wingi kwa mtaji mdogo, wakiingia kichwa kichwa wakakaanga hela mnawalaumu eti walikuwa na tamaa ya kupata faida nono! Ebo! Sasa mngetaka apate faida kiduchu si mngemwambia hapo awali?Pole sana ndugu yangu, bora wewe umekiri hujui. Nakuomba tu ujitahidi kujifunza kusoma literatures za forex zipo tele mtandaoni.
Naamini utaelewa vizuri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mkiwafundisha mnawapa hamu ya kupiga hela kwa wingi kwa mtaji mdogo, wakiingia kichwa kichwa wakakaanga hela mnawalaumu eti walikuwa na tamaa ya kupata faida nono! Ebo! Sasa mngetaka apate faida kiduchu si mngemwambia hapo awali?
Hamna tofauti na kalumanzila
[emoji1] [emoji1] Just[emoji1] [emoji1]Huyo Lllian ana pesa kumzidi mmiliki wa Facebook?
Acha uzembe wa kiakili!
Mganga wa kienyeji anakualika akutengenezee dawa upate pesa hali ya kuwa yeye ni fukara aliyetopea (kwa ufala wako wewe ndio unampelekea mganga hela!!)
Acheni hizo!
[emoji1] [emoji1] Just[emoji1] [emoji1]Nimekuuliza benki kuu ya tanzania maana naweza kwenda ofisini kwao kwa miguu, sasa wewe unaniletea atiko ambayo nikitaka kupata ithibati yake lazima niwe na hati ya kusafiria ya kielektroni na nauli ya drimulaina!!
Wee vipi wewe?
Aweje makini? Au achojoe kabisa viwalo?subiri collection kidogo then ndo upande nayo ila kuwa makini tu.
Mkuu unaweza kunieleza kidogo hiyo concept ya collectionsubiri collection kidogo then ndo upande nayo ila kuwa makini tu.
Kamisheni ya nini bossUnataka kutuambia Bank kuu huwa wanatrade?
Yale mahati fungate huwa wanayatoa ya nini sasa?
Mnawaambukiza watu ugoro wakiibiwa mpate kamisheni!!!
Acha kujichekesha kwenye mambo ya msingi!!
Rudi MMU.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Acha kujichekesha kwenye mambo ya msingi!!
Mkuu vipi kwani unateseka?Aweje makini? Au achojoe kabisa viwalo?
Hahaa kati ya mimi na wewe anayepata kizunguzungu hapa sijui ni nani, nimekuuliza kamisheni ya nini maana naona hujui hata unachoandikaRudi MMU.
Huku kizunguzungu
price at least ifike demand zone. na asubiri confirmation ya buy then aanze safariAweje makini? Au achojoe kabisa viwalo?
Haha nimependa ulivyomjibuprice at least ifike demand zone. na asubiri confirmation ya buy then aanze safari
Mnazidiwa na betting kwa probability kuwa chacheprice at least ifike demand zone. na asubiri confirmation ya buy then aanze safari
sawa.Mnazidiwa na betting kwa probability kuwa chache