Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
Hapo ndio utapeli ulipo lala sasa
unanunua nini kutoka kwa nani na ukafanyie nini
na una uza kwa nani na akafanyie nini
ni nani ana determine bei kupanda na kushuka na anatumia vigezo gani?

akili za kwako chamganya na zakuambiwa
Si mmeambiwa hili kitu inahitaji kuisoma na kuielewa. Na hata ukiwa na Phd kama bwana John, unaweza usiielewe.
 
Mshauri kiZero IQ kuhusu K zitamkeep busy, atasahahu kabisa kuhusu forex na utakuwa umemuokoa katika janga
 
Yupo jamaa yangu naye kaingia forex kichwa kichwa... Hajafanya demo wala nini nikaona vimichoro vya forex kwenye simu yake nikamuuliza umeingia forex...!?

Akasema ndio... Nkamuuliza unaijua vizuri akasema anajua.. ni nani anakufundisha akakaa kimya..

Nikamwambia hakuna pesa ya kudonwload.. akawa kaweka 40,000... Naye akawa na imani atapata million.. et ananambia napishana napesa..

Siku chache anasema kaunguza account [emoji1787][emoji1787] nkamuuliza vp et nimesimama kidogo...!!!!

Sijawahi muona tajiri wa forex wengi wanashughuli zao za pembeni

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwaona humu na vi chat vyao unaweza sema matajiri hawa hapa wamejaa. Kumbe porojo tuuu
 
Acha aunguze pesa ili apate uzoefu.. cku akianza kupga hela ndo mtapoanza kumpa shikamoo.. There is no sweet without sweat [emoji29]
 
Hii kitu inahitaji muda sana....Nam npo huko huu ni mwaka tabrikan wa tatu........Nmetrade sana nmepata faida na hasara pia now najifua tena mdogomdogo..ukiikurupukia unaweza uza mpaka CHUPI

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hizi kauli huwa mnakalilishwa huko na mentors wenu.

Maana kila mmoja anakwambia hii trade inahitaji muda
mara inahitaji kuielewa sana
mara ni ngumu kuliko elimu ya chuo.

Takataka tupu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom