Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kiukweli nivigumu kukueleza Mt4 kwa kuandika.Mt4 ninayo kwa simu shida namna ya kufanya trading tuu, kuweka order, kubuy kusell, yani vitu vidogo vidogo ktk trading mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimekuomba unifutie hii account yangu naona kimya. Please do needful.
Naomba unifutie hii account please please nakuomba sana. Kama umeweza kujibu hili naomba unijibu ombi langu pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa screenshot unazozipost huku nadhan sasa hivi unakaribia utajiri wa bahresaMkuu nimekuomba unifutie hii account yangu naona kimya. Please do needful.
Naomba unifutie hii account please please nakuomba sana. Kama umeweza kujibu hili naomba unijibu ombi langu pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemquote mara ya kwanza umehisi hajaona umerudia tena, unatafuta attention ya mwanaume mwenzio hadi unatia shakakwa screenshot unazozipost huku nadhan sasa hivi unakaribia utajiri wa bahresa
Fx sio gamblingRaha ya hivi vitu watanzania hatujifunzi nakumbuka hivi vitu
DES
HI2
GLOBAL AIM
Sas hivi ni forex
Sent using Jamii Forums mobile app
Si mmeambiwa hili kitu inahitaji kuisoma na kuielewa. Na hata ukiwa na Phd kama bwana John, unaweza usiielewe.Hapo ndio utapeli ulipo lala sasa
unanunua nini kutoka kwa nani na ukafanyie nini
na una uza kwa nani na akafanyie nini
ni nani ana determine bei kupanda na kushuka na anatumia vigezo gani?
akili za kwako chamganya na zakuambiwa
Hata wewe mkuuPorojo tu.
Sijawahi shiriki biashara ya Forex wala sijawahi amini katika biashara hiyo.
Afute acc kisa amewakana ?Mkuu nimekuomba unifutie hii account yangu naona kimya. Please do needful.
Naomba unifutie hii account please please nakuomba sana. Kama umeweza kujibu hili naomba unijibu ombi langu pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Max ameshakanusha hilooMkuu Maxence kapigwa kumbe[emoji1787][emoji1787][emoji1787], Shem buana
Ukiwaona humu na vi chat vyao unaweza sema matajiri hawa hapa wamejaa. Kumbe porojo tuuuYupo jamaa yangu naye kaingia forex kichwa kichwa... Hajafanya demo wala nini nikaona vimichoro vya forex kwenye simu yake nikamuuliza umeingia forex...!?
Akasema ndio... Nkamuuliza unaijua vizuri akasema anajua.. ni nani anakufundisha akakaa kimya..
Nikamwambia hakuna pesa ya kudonwload.. akawa kaweka 40,000... Naye akawa na imani atapata million.. et ananambia napishana napesa..
Siku chache anasema kaunguza account [emoji1787][emoji1787] nkamuuliza vp et nimesimama kidogo...!!!!
Sijawahi muona tajiri wa forex wengi wanashughuli zao za pembeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hizi kauli huwa mnakalilishwa huko na mentors wenu.Hii kitu inahitaji muda sana....Nam npo huko huu ni mwaka tabrikan wa tatu........Nmetrade sana nmepata faida na hasara pia now najifua tena mdogomdogo..ukiikurupukia unaweza uza mpaka CHUPI
Sent using Jamii Forums mobile app
I'm Kindly Dedicating You The Songkwa screenshot unazozipost huku nadhan sasa hivi unakaribia utajiri wa bahresa
na Siku Nyingine Ujaribu Kupost Screenshot Za Red Not Alwayz Blue You Are Not That Smart You Want To Show Us BoyI'm Kindly Dedicating You The Song
Senseless Remix - Steflon Don Ft Torry Lanez....
Goodbye - Jason Derulo Ft David Gueta
Enjoy Your Lovely Weekend Boy.
Sent using Jamii Forums mobile app