Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
SI ex kwani ni mpenzi wako tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo kitu inauma sana mbaya zaidi awe ni rafiki yako wa karibu sanaPole mzee,mi jamaa yangu alioa kabisa,cha ajabu manzi nilizaa nae na jamaa baada ya ndoa kazaa nae alafu wamekuja achana kwa sababu zile zile ambazo mimi nilimuacha.
Wanawake pasua sana ila kuna washkaji maboya sana madomo zege.
Kuhusu kumuita Shem ex wake jamaa ndo hataki kusikia[emoji3][emoji3]Sio kweli hayo ni mawazo yako tu na wewe bado unampenda na kwa sasa mueshimu sana shemeji yako.
The beauty is in the eyes of the beholder! Kibaya kwako kizuri kwa mwenzio, mwache dogo atafute utamu kenge wewe!Kuna mshikaji wangu anatembea na ex Wangu ambaye nimeachana nae miezi 5 iliyopita, kiukweli huyo ex simpendi lakini mshikaji wangu ananiboa sana, ina maana alikosa demu mwingine mpaka aje kutembea na mashemeji zake
Naomba ushauri nimfanyeje huyu mshikaji wangu maana naona ni kama anasafiria nyota yangu😂😂 nilitaka nimkate mitama mbele ya huyo ex wangu ila basi tu sitaki kesi 😂😂
Ukisusa wengine walaKuna mshikaji wangu anatembea na ex Wangu ambaye nimeachana nae miezi 5 iliyopita, kiukweli huyo ex simpendi lakini mshikaji wangu ananiboa sana, ina maana alikosa demu mwingine mpaka aje kutembea na mashemeji zake
Naomba ushauri nimfanyeje huyu mshikaji wangu maana naona ni kama anasafiria nyota yangu😂😂 nilitaka nimkate mitama mbele ya huyo ex wangu ila basi tu sitaki kesi 😂😂