Mshikaji wangu anatembea na ex wangu

Mshikaji wangu anatembea na ex wangu

Pole sana maana inaonekana bado unampenda Ex wako umeshachelewa tayari.
 
Pole mzee,mi jamaa yangu alioa kabisa,cha ajabu manzi nilizaa nae na jamaa baada ya ndoa kazaa nae alafu wamekuja achana kwa sababu zile zile ambazo mimi nilimuacha.

Wanawake pasua sana ila kuna washkaji maboya sana madomo zege.
 
Hiyo kitu inauma sana mbaya zaidi awe ni rafiki yako wa karibu sana
 
Sio kweli hayo ni mawazo yako tu na wewe bado unampenda na kwa sasa mueshimu sana shemeji yako.
Kuhusu kumuita Shem ex wake jamaa ndo hataki kusikia[emoji3][emoji3]
 
Kuna mshikaji wangu anatembea na ex Wangu ambaye nimeachana nae miezi 5 iliyopita, kiukweli huyo ex simpendi lakini mshikaji wangu ananiboa sana, ina maana alikosa demu mwingine mpaka aje kutembea na mashemeji zake

Naomba ushauri nimfanyeje huyu mshikaji wangu maana naona ni kama anasafiria nyota yangu😂😂 nilitaka nimkate mitama mbele ya huyo ex wangu ila basi tu sitaki kesi 😂😂
The beauty is in the eyes of the beholder! Kibaya kwako kizuri kwa mwenzio, mwache dogo atafute utamu kenge wewe!
 
Kuna mshikaji wangu anatembea na ex Wangu ambaye nimeachana nae miezi 5 iliyopita, kiukweli huyo ex simpendi lakini mshikaji wangu ananiboa sana, ina maana alikosa demu mwingine mpaka aje kutembea na mashemeji zake

Naomba ushauri nimfanyeje huyu mshikaji wangu maana naona ni kama anasafiria nyota yangu😂😂 nilitaka nimkate mitama mbele ya huyo ex wangu ila basi tu sitaki kesi 😂😂
Ukisusa wengine wala
 
Mchawi wako umeshamuina. Kama ulikuwa unamsimulia mambo yako basi katika ugomvi wenu jamaa alikuwa anahusika pakubwa
 
Tena nilianza kumdinya hata kabla hamjaachana
 
Acha kumind vitu vdg

Nyie si mshaachana

Ova
 
Nakupenda wewe na huyo bwana wako!!...alisikika mlevi mmoja akiimba
 
Back
Top Bottom