Mshikaki wa serikali vs nyama choma ya wananchi unavyo watofautisha kwenye mipango yao swala ubaya .

Mshikaki wa serikali vs nyama choma ya wananchi unavyo watofautisha kwenye mipango yao swala ubaya .

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Mshikaki unabeba viungo ambavyo vinafanya mda mfupi kuiva haraka.
Kwa mtazamo unaona kabisa serikali inaweza kuwa mshikaki sababu ina viungo vyote.

Ukija upande wa nyama choma kwa wananchi hawa watu mpaka kuwa nyama choma wamechukua mda mrefu kuwa nyama choma.

Maswala mengi ambayo yanafanywa na serikali yalishakuwa mshikaki ukilinganisha na nyama choma ambayo ni rahisi kushtukiwa.

Tukubari kuwa haya yanayo fanywa na serikali kuwa mipango imesukwa kwa lengo baya kupitia chama tawala na tayari ni mshikaki.
IMG_0810.jpeg
 
N’gombe 400 unachinja mkoani kwako kuna watoto wanakaa chini darasani.
Wewe ni Babà gani
 
Back
Top Bottom