chizcom JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 8,680 Reaction score 18,035 Mar 9, 2025 #1 Mshikaki unabeba viungo ambavyo vinafanya mda mfupi kuiva haraka. Kwa mtazamo unaona kabisa serikali inaweza kuwa mshikaki sababu ina viungo vyote. Ukija upande wa nyama choma kwa wananchi hawa watu mpaka kuwa nyama choma wamechukua mda mrefu kuwa nyama choma. Maswala mengi ambayo yanafanywa na serikali yalishakuwa mshikaki ukilinganisha na nyama choma ambayo ni rahisi kushtukiwa. Tukubari kuwa haya yanayo fanywa na serikali kuwa mipango imesukwa kwa lengo baya kupitia chama tawala na tayari ni mshikaki.
Mshikaki unabeba viungo ambavyo vinafanya mda mfupi kuiva haraka. Kwa mtazamo unaona kabisa serikali inaweza kuwa mshikaki sababu ina viungo vyote. Ukija upande wa nyama choma kwa wananchi hawa watu mpaka kuwa nyama choma wamechukua mda mrefu kuwa nyama choma. Maswala mengi ambayo yanafanywa na serikali yalishakuwa mshikaki ukilinganisha na nyama choma ambayo ni rahisi kushtukiwa. Tukubari kuwa haya yanayo fanywa na serikali kuwa mipango imesukwa kwa lengo baya kupitia chama tawala na tayari ni mshikaki.
The Legacy JF-Expert Member Joined Jun 1, 2022 Posts 5,879 Reaction score 11,318 Mar 9, 2025 #2 N’gombe 400 unachinja mkoani kwako kuna watoto wanakaa chini darasani. Wewe ni Babà gani