Mshikamano wa Wakenya kwenye mechi ya Morocco umenishitua sana. Nimeogopa

bro alex

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2025
Posts
1,889
Reaction score
2,294
Nilikuwa najiuliza swali hivi hao gen z huwa wanapanga wapi mambo yao? Je ni kikundi kinacho fadhiliwa na kigogo fulani? Nani Yuko nyuma yao. Je chai zinazo gawiwa kwa gen z ni kigogo ndo hufadhili? Anapo pigwa mmoja wao na askari na wao kuwavamia askari nakutembeza kichapo je ni bangi zile?

Hao wasanii wao wakina eriki omondi, kharigraph Jones,brown MPAKA yule jaji WA mahakama kuu kusimama na wakenya na si viongozi wa serikali Je hawaogopi kutekwa na kupotezwa?

Jana kwenye mechi ya moroco nikapata jawabu sahihi, jibu ni umoja na upendo na kuhurumiana. Nishawahi msikia kharigraph Jones akilalamika alienda kununua ardhi sehemu akakataliwa kuwa huo mtaa ni wa indians tu mweusi hatakiwi. Wiki kadha mbele nikamsikia jaguar kama kiongozi akidai wako tayari wao kama raia kutembeza kichapo kwa wapikistani WOTE kudaddeki zao na kuwavurumisha waondoke. Hio inshu hadi magufuli aliizungumza kutokana na hio kauli akadai Tanzania tuna wasanii wengi ila hawajawahi ongea ubaguzi kama huo.

Yani mweusi kubaguliwa asinunue ardhi nchini kwake, si ubaguzi ila mweusi kudai haki zake, ni ubaguzi yani kama bagamoyo ILIVO pewa zanzibar watanganyika hatutakiwi kukanyaga pale, huo si ubaguzi ila siku na si tukiliamsha Kuhusu mustakabali WA mtanganyika tuitwe wabaguzi?

Hapa tz ukiuuwa mtz Mmoja hakuna wakuandamana. Kuna dogo Yuko masomoni Marekani kapigwa risasi kafa wauwaji hawajulikani sija msikia kiongozi yoyote WA JUU akilalamika SI polepole SIO HECHE SIO waziri wa nje wote macho kwenye madaraka ILI familia zao na watoto WAO waendelee kwenda ulaya kula vitamu na jina la royal family.

Kibao kafa POA maisha yameendelea, Ndugai kafa WATU kusema poa, Eti haikubariki sio ungwana huo. WATU wanaweka HADI MIPANGO ya kuwakamata washangilaji KIFO cha SPIKA ETI waeleweshwe SIO ungwana, na yule alo SEMA KIFO ni KIFO je? Alieleweshwa na nani? Njia pekee ya haya ni WATz kuamua nchi iendeshweje na SIO lissu Wala polepole Wala fisiemu big no sisi raia NDO tunatakiwa tusimamie tz yetu full stop.Kama tutaendelea HIVI basi Tuna safari ndefu saaana.

Kwishaaaaa
 
Mkuu wakenya hawaangalii hayo, ulisikia yule KIJANA muuza barakoa aliepigwa risasi hadharani? Inamanisha lile ni rungu mkuu?, inshort WA tz hawajitambui ila kadri SIKU zinavo KWENDA wameanza kushtuka taratibu.

Kwishaaaa
 
We kenge ni mkenya, tuliza ****** nchini kwako acha kujipendekeza kwa Watanzania, ustaarabu wa nchi hii unawapata wivu na husda mnataka kutuharibia, nyie wana haramu hamtaweza kamwe. Lingine Kenya hakuna polisi yale ni manungayembe. Polisi wako TZ, Uganda, Rwanda hasa Tanzania lete ujuaji wako uone.
 
Unataka ufe kizembe kwasababu ya maisha ya mtu mwingine.Hebu jitokeze wewe kwanza tukuone.Mimi bado sijaona chakunifanya niache kula ugali kizembe alafu familia yangu iteseke kifala kwasababu ya ujinga wangu.Hata uko kenya wanakokufa kijinga bado hawana maisha yoyote yakuizidi tz.Kuna mambo yakupambana yakae sawa ila sio kijinga.
 
Mi SIO mtanzania ndio mi ni mtanganyika

SAWA KAKA NGoja SI tuwapiganie, Babu YANGU ALIKUA ni MmOJA WA makamanda walio enda kupigana na idd AMIN dada, Kuna wengine walikimbia vita hawakwenda ila Leo HII wanajivunia Kagera mkuu

Kwishaaaaa
 
We kenge ni mkenya, tuliza ****** nchini kwako acha kujipendekeza kwa Watanzania, ustaarabu wa nchi hii unawapata wivu na husda mnataka kutuharibia, nyie wana haramu hamtaweza kamwe. Lingine Kenya hakuna polisi yale ni manungayembe. Polisi wako TZ, Uganda, Rwanda hasa Tanzania lete ujuaji wako uone.
Samahani basha nisikilize tafadhali ETI ,Unavuka maji kutoka huko unakuja kwetu kutuita kenge. NYIE wenyewe hamtaki muungano SI tumewasapoti, TENA hamtaki, SASA tuwaleweje NDUGU YANGU, kutoka m/ kwerekwe

Kwishaaaa
 
Mkuu wakenya hawaangalii hayo, ulisikia yule KIJANA muuza barakoa aliepigwa risasi hadharani? Inamanisha lile ni rungu mkuu?, inshort WA tz hawajitambui ila kadri SIKU zinavo KWENDA wameanza kushtuka taratibu.

Kwishaaaa
Leo umekuja kivingine kabisa yaan utaanza kupoteza likes humu mpaka ushangae kmamae ******* humu ukiisema serikali tu hawakupi likes hata ufanyaje wanakuona mkuda tu mmavimavi kunuka mchawi ila sifia serikali utapata likes dunia nzima
 
Mi SIO mtanzania ndio mi ni mtanganyika

Kwishaaaaa
Leo humsifii Saa100 kabisa au umepokonywa simu au kuna akili zimekurudia zilikua zimeenda likizo ulikufa ubongo sasa umefufuka?
 
We kenge ni mkenya, tuliza ****** nchini kwako acha kujipendekeza kwa Watanzania, ustaarabu wa nchi hii unawapata wivu na husda mnataka kutuharibia, nyie wana haramu hamtaweza kamwe. Lingine Kenya hakuna polisi yale ni manungayembe. Polisi wako TZ, Uganda, Rwanda hasa Tanzania lete ujuaji wako uone.
Punguza miheemko mtandaoni mkuu
 
Tukiendelea hivi tutafika huko trust me, maana kila familia itaguswa na kujawa na hasira,kisasi chuki juu ya watu fulani itawaunganisha,na kuanza kupendana na kufarijiana kwa madhila
Wanayofanyiwa na hao watu
Hata hapa tulipofikia sio kwa bahati mbaya. Miaka mi tano nyuma wabongo hata kucoment negative kwenye mitandao ya kijamii walikua wanaogopa, sasa hivi watu wanajibishana na msigwa kwenye comments like he is a no body 😃
 
Tusha choka mkuu amini nakwambia hatua inayo fata tunaingia barabarani ogopa SANA HIZI kelele za mitandaoni zikihamia KWENYE vitendo, KWANINI WATU wasisikilizwe TU ILI maisha yasongeee kwa amani Kuna WATU wansema ETI WA tz ni waoga mkuu ivory coast walikua waoga balaa YANI kimulimuli TU cha polisi mbio zake, ILA walipo choka damu zilitapakaa mitaroni na watu hawarudi nyuma. mkuu ACHA TU ni hatari

Kwishaaaa
 
Leo humsifii Saa100 kabisa au umepokonywa simu au kuna akili zimekurudia zilikua zimeenda likizo ulikufa ubongo sasa umefufuka?
Umenifananisha mkuu pitia Uzi ZANGU zote mkuu huwa nasema kweli akifanya VIZURI tasifi akizingua taongea SHIDA hata tukiongea hatusikilizwi

Kwishaaaaa
 
Back
Top Bottom