Ndo ile wanasemaga amani ya nyokoHalafu utasikia "uzalendo, amani..." na fyokofyoko zingine. Inshort wakenya ni wazalendo kwa nchi yao. Ndio maana wanaipigania hata kwa damu. Haya njoo huku kwenye amani sasa🙆♂️
Kwakweli.Ndo ile wanasemaga amani ya nyoko
We kenge ni mkenya, tuliza ****** nchini kwako acha kujipendekeza kwa Watanzania, ustaarabu wa nchi hii unawapata wivu na husda mnataka kutuharibia, nyie wana haramu hamtaweza kamwe. Lingine Kenya hakuna polisi yale ni manungayembe. Polisi wako TZ, Uganda, Rwanda hasa Tanzania lete ujuaji wako uone.Mkuu wakenya hawaangalii hayo, ulisikia yule KIJANA muuza barakoa aliepigwa risasi hadharani? Inamanisha lile ni rungu mkuu?, inshort WA tz hawajitambui ila kadri SIKU zinavo KWENDA wameanza kushtuka taratibu.
Kwishaaaa
Mi SIO mtanzania ndio mi ni mtanganyikaWe kenge ni mkenya, tuliza ****** nchini kwako acha kujipendekeza kwa Watanzania, ustaarabu wa nchi hii unawapata wivu na husda mnataka kutuharibia, nyie wana haramu hamtaweza kamwe. Lingine Kenya hakuna polisi yale ni manungayembe. Polisi wako TZ, Uganda, Rwanda hasa Tanzania lete ujuaji wako uone.
SAWA KAKA NGoja SI tuwapiganie, Babu YANGU ALIKUA ni MmOJA WA makamanda walio enda kupigana na idd AMIN dada, Kuna wengine walikimbia vita hawakwenda ila Leo HII wanajivunia Kagera mkuuUnataka ufe kizembe kwasababu ya maisha ya mtu mwingine.Hebu jitokeze wewe kwanza tukuone.Mimi bado sijaona chakunifanya niache kula ugali kizembe alafu familia yangu iteseke kifala kwasababu ya ujinga wangu.Hata uko kenya wanakokufa kijinga bado hawana maisha yoyote yakuizidi tz.Kuna mambo yakupambana yakae sawa ila sio kijinga.
Samahani basha nisikilize tafadhali ETI ,Unavuka maji kutoka huko unakuja kwetu kutuita kenge. NYIE wenyewe hamtaki muungano SI tumewasapoti, TENA hamtaki, SASA tuwaleweje NDUGU YANGU, kutoka m/ kwerekweWe kenge ni mkenya, tuliza ****** nchini kwako acha kujipendekeza kwa Watanzania, ustaarabu wa nchi hii unawapata wivu na husda mnataka kutuharibia, nyie wana haramu hamtaweza kamwe. Lingine Kenya hakuna polisi yale ni manungayembe. Polisi wako TZ, Uganda, Rwanda hasa Tanzania lete ujuaji wako uone.
Leo umekuja kivingine kabisa yaan utaanza kupoteza likes humu mpaka ushangae kmamae ******* humu ukiisema serikali tu hawakupi likes hata ufanyaje wanakuona mkuda tu mmavimavi kunuka mchawi ila sifia serikali utapata likes dunia nzimaMkuu wakenya hawaangalii hayo, ulisikia yule KIJANA muuza barakoa aliepigwa risasi hadharani? Inamanisha lile ni rungu mkuu?, inshort WA tz hawajitambui ila kadri SIKU zinavo KWENDA wameanza kushtuka taratibu.
Kwishaaaa
Leo humsifii Saa100 kabisa au umepokonywa simu au kuna akili zimekurudia zilikua zimeenda likizo ulikufa ubongo sasa umefufuka?Mi SIO mtanzania ndio mi ni mtanganyika
Kwishaaaaa
Punguza miheemko mtandaoni mkuuWe kenge ni mkenya, tuliza ****** nchini kwako acha kujipendekeza kwa Watanzania, ustaarabu wa nchi hii unawapata wivu na husda mnataka kutuharibia, nyie wana haramu hamtaweza kamwe. Lingine Kenya hakuna polisi yale ni manungayembe. Polisi wako TZ, Uganda, Rwanda hasa Tanzania lete ujuaji wako uone.
Tusha choka mkuu amini nakwambia hatua inayo fata tunaingia barabarani ogopa SANA HIZI kelele za mitandaoni zikihamia KWENYE vitendo, KWANINI WATU wasisikilizwe TU ILI maisha yasongeee kwa amani Kuna WATU wansema ETI WA tz ni waoga mkuu ivory coast walikua waoga balaa YANI kimulimuli TU cha polisi mbio zake, ILA walipo choka damu zilitapakaa mitaroni na watu hawarudi nyuma. mkuu ACHA TU ni hatariTukiendelea hivi tutafika huko trust me, maana kila familia itaguswa na kujawa na hasira,kisasi chuki juu ya watu fulani itawaunganisha,na kuanza kupendana na kufarijiana kwa madhila
Wanayofanyiwa na hao watu
Hata hapa tulipofikia sio kwa bahati mbaya. Miaka mi tano nyuma wabongo hata kucoment negative kwenye mitandao ya kijamii walikua wanaogopa, sasa hivi watu wanajibishana na msigwa kwenye comments like he is a no body 😃
Umenifananisha mkuu pitia Uzi ZANGU zote mkuu huwa nasema kweli akifanya VIZURI tasifi akizingua taongea SHIDA hata tukiongea hatusikilizwiLeo humsifii Saa100 kabisa au umepokonywa simu au kuna akili zimekurudia zilikua zimeenda likizo ulikufa ubongo sasa umefufuka?