Leo umekuja kivingine kabisa yaan utaanza kupoteza likes humu mpaka ushangae kmamae ******* humu ukiisema serikali tu hawakupi likes hata ufanyaje wanakuona mkuda tu mmavimavi kunuka mchawi ila sifia serikali utapata likes dunia nzima
Halafu utasikia "uzalendo, amani..." na fyokofyoko zingine. Inshort wakenya ni wazalendo kwa nchi yao. Ndio maana wanaipigania hata kwa damu. Haya njoo huku kwenye amani sasa🙆♂️
Halafu utasikia "uzalendo, amani..." na fyokofyoko zingine. Inshort wakenya ni wazalendo kwa nchi yao. Ndio maana wanaipigania hata kwa damu. Haya njoo huku kwenye amani sasa🙆♂️
Yale marungu ya Polisi yaone vilevile tu mkuu ukipigwa ya ugoko yanauma balaa na jamaa hua wanapiga kwenye joints tu joints zote za mikono na miguu wanagonga mpaka visigino tena wanakushambulia wawili watatu mpaka wanne wewe upo peke yako, simuliwa tu ukitaka chukua vile vigongo vya kusukumia Chapati jaribu kujigonga kwenye ugoko au muombe mtu akugonge sasa utamu wake ndio utamu wa vile virungu