Mshindi wa BSS 2009 ni Kelvin; halina ubishi!

Mshindi wa BSS 2009 ni Kelvin; halina ubishi!

Naona mhe.Zitto amesimama baada ya Peter msechu kutangazwa kuwa mshindi wa 2.

Washindi BSS 2009

1.Pascal Cassian
2.Peter msechu
3.Kelvin Mbati
4.Jackson George
5.Beatrice William
 
Mshindi wa bss ni kelvin;halina ubishi

--------------------------------------------------------------------------------

1. Pascal Kasian.
2.Peter Msechu
3.Kelvin Mbati
4.Msichana..
5......

WE NOMA UMETOKEA BAGAMOYO NINI???
 
Mshindi ni Cassian Pascal na kjishindia 25m +1m + malaki kazaa ya kutunzwa

AJWA MSHINDI NI PASCAL CASSIAN...HUYO HAPO JUU NI BABAKE.....
 
Haluu nilikuwa mwenye furaha zaidi ya kipimo ,majaji walifanya fair kabisa na kula za Watanzania kupewa kijana mwenye kipaji na sauti ya Tofauti Pascal Cassian

Keep it up kijana toa song zako tuko nyuma yako
 
Kijana pamoja na kuimba uku akicheza alikuwa hapotezi beat wala pumzi...hata baada ya ushindi...uku akituzwa aliweza kuimba...Huyo ndio star.Sio mpaka ujipange.Huyu angetakiwa kwenda Tusker project fame...ndio angeonekana zaidi.
 
Kule tusker ni lugha gani inatumika zaidi ?
 
Haluu nilikuwa mwenye furaha zaidi ya kipimo ,majaji walifanya fair kabisa na kula za Watanzania kupewa kijana mwenye kipaji na sauti ya Tofauti Pascal Cassian

Keep it up kijana toa song zako tuko nyuma yako
__________________

FIRST LAY POPTE ULIPO KAMA UNAMJUA NA CONTACTS ZAKE JAMANI M NIMEMZAWADIA DADA KABISA KAMA ATAWEZA KUONDOK NAE SAWA TU
HESHIMA

MKUU P.CASSIAN UR ANTACHABO KWA KWERIIIIII KURE MARA TUNASEMA
......................MMMMMMMMMMHHHHHHHHHH.........................
 
Bila shaka ni Msukuma huyu! Mwaka huu tumeosha sana

Ms Tanzania - Mwanza (Msukuma)

BBS - Mwanza Msukuma

BBA (Revolution) - Msukuma Kanumba alituwakilisha

2010 President Msukuma ----- hahahahahahahahahaahahaah
 
haha aaaah haaa 2010 ndo Prezident atakuwa Mheshimiwa Cheyo or??
 
Pdiddy ka post on 11th october na alikuwa ana predict na sio kutujulisha mshindi,au did I get it wrong?
 
Jamani kijana ana kipaji si mchezo..leo hii najaribu kumwangalia na nyimbo atakazo toka nazo kwenye final kwa kweli mtakaokuwepo hakuna atakaejutia kiingilio...njo ujamjaze mtoto beatrice mahela

nawatakia kila la kheri washindi wote
 
Wote sio Waimbaji bali wanacopy nyimbo za watu.. samahani wakuu wangu maana mimi naona kuwa kama kweli tunataka watu kuwa waimbaji basi watunge nyimbo zao na sisi hivi tunavyofanya kucopy na kupaste
 
Back
Top Bottom