Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana pamoja na kuimba uku akicheza alikuwa hapotezi beat wala pumzi...hata baada ya ushindi...uku akituzwa aliweza kuimba...Huyo ndio star.Sio mpaka ujipange.Huyu angetakiwa kwenda Tusker project fame...ndio angeonekana zaidi.
Kule tusker ni lugha gani inatumika zaidi ?
Bila shaka ni Msukuma huyu! Mwaka huu tumeosha sana
Ms Tanzania - Mwanza (Msukuma)
BBS - Mwanza Msukuma
BBA (Revolution) - Msukuma Kanumba alituwakilisha
2010 President Msukuma ----- hahahahahahahahahaahahaah
haha aaaah haaa 2010 ndo Prezident atakuwa Mheshimiwa Cheyo or??
nani kashinda jana?
Chenge Andrew!
soma tu kwa utaratibu majibu utakutana nayo bwana BishangaPdiddy ka post on 11th october na alikuwa ana predict na sio kutujulisha mshindi,au did I get it wrong?