Mshindi wa kombe la dunia atapata Bilioni 98.3

Caf champions league tu wanakucha trillion hii kamba labda kama bado hazijabadilishwa kwenye dollar.
 
Caf champions league tu wanakucha trillion hii kamba labda kama bado hazijabadilishwa kwenye dollar.
Mkuu hebu acha uongo basi Caf champions league ipi wanayokunja Trilioni??
 
Mbona pesa ndogo sana hio kulinganisha thamani ya mchezo wenyewe
 
Mkuu hebu acha uongo basi Caf champions league ipi wanayokunja Trilioni??
Bingwa wa Caf champions league anapata nyingi kuliko huo utopolo hapo juu kama team inafuzu makundi tu narudia hii kamba.
 
Sio kweli ni UEFA tu inayoizidi world cup kwenye prize money kwa mshindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…