Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanakurupuka sana kubishaLeta ukweli SASA
Mkeka official huo hapoMkeka huu hapaView attachment 2450213
Mshindi wa UEFA champions league anachukua zaidi ya mara mbili ya hiyo hela wanayotoa FIFAPesa ndefu sana hiyo
Weka ushahidiMshindi wa UEFA champions league anachukua zaidi ya mara mbili ya hiyo hela wanayotoa FIFA
Ngumbaru Mwerevu huyoSijui ka unaelewa ulichoandika
Fuatilia kwenye sources ujiridhisheCaf champions league tu wanakucha trillion hii kamba labda kama bado hazijabadilishwa kwenye dollar.
Mkuu hebu acha uongo basi Caf champions league ipi wanayokunja Trilioni??Caf champions league tu wanakucha trillion hii kamba labda kama bado hazijabadilishwa kwenye dollar.
Naona huwa inaongezeka kila baada ya miaka minne kama inavyoonekana kwenye picha hapoMbona pesa ndogo sana hio kulinganisha thamani ya mchezo wenyewe
Bingwa wa Caf champions league anapata nyingi kuliko huo utopolo hapo juu kama team inafuzu makundi tu narudia hii kamba.Mkuu hebu acha uongo basi Caf champions league ipi wanayokunja Trilioni??
Weka ushahidi mkuuBingwa wa Caf champions league anapata nyingi kuliko huo utopolo hapo juu kama team inafuzu makundi tu narudia hii kamba.
Dah kweli uefa kuna balaa hiyo €85m ni kama bilioni 210 Tsh hivi[emoji3]