Mshindi wa kombe la dunia atapata Bilioni 98.3

Mshindi wa kombe la dunia atapata Bilioni 98.3

Mafian cartel

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2021
Posts
3,876
Reaction score
7,118
Kama ulikua hujui mshindi wa kombe la dunia pamoja na washiriki wengine mwaka huu wanabeba kibunda cha Thamani gani basi soma hapo chini


Kwa mujibu wa Fifa ilitenga kiasi cha $440m(Trilioni 1.3Tsh) kwa ajili ya mataifa yote 32 yatakayo shiriki michuano ya kombe la dunia mwaka 2022 huko Qatar

Mchanganuo ni kama ifuatavyo

Mabingwa watabeba $42m(Bilioni 98.3Tshs)

Nafasi ya pili $30m (Bilioni 70.2Tsh)

Nafasi ya tatu $27m(Bilioni 63.2Tsh)

Nafasi ya Nne $25m (Bilioni 58.5Tsh)

Timu zilizotolewa hatua ya robo fainali
Zipo nne kila moja itapata Bilioni 39.7 Tsh


Timu zilizotolewa hatua ya 16 bora zipo nane kila moja itapata Bilioni 30.4Tsh

Timu zilizotolewa hatua ya makundi zipo 16 kila moja itapata Bilioni 21Tsh


Source:Aljazeera

Nawasilisha
View attachment 2450224
 
NUKSI KUMBE ILIANZIA HAPA NDIOMAANAA MOROCCO WA NNE AISEE
 
Back
Top Bottom