angelique jolie
Senior Member
- Jul 1, 2013
- 101
- 14
ana bonge la komo, sura kama tambara, ametoa kitu kapata kitu
Miss Tanzania zamani bwana, siku hizi hata haina mashiko!
ana bonge la komo, sura kama tambara, ametoa kitu kapata kitu
hivi nyie mlijiumba?
utoto ni mzigo mzito kuliko wa kokoto.
we are not serious man, ni just kuchekesha watuAcha hizo wewe.tubuuuuu
usiogope
utaweza unapata mafunzo kwanza ya ki-modo modo, then unafuzu
na wewe ukiwa miss tz lazima utakuwa miss woldi🙂[/QUOTE
Lini mtaacha kutongozana kwenye theads za watu? :angry:
Huyu hawezi kushinda miss World kabisaa.Kwanza jina lake la pili tu gumu.
usiogope
utaweza unapata mafunzo kwanza ya ki-modo modo, then unafuzu
na wewe ukiwa miss tz lazima utakuwa miss woldi🙂[/QUOTE
Lini mtaacha kutongozana kwenye theads za watu? :angry:
Tuheshimiane tafadhali
Apa tunazungumzia miss Tanzania. Nenda naye pm ukamsifie uko.
acha hizo wewe mhamiaji haramu, una wivu wa kijinga:yell:Weka sura yako na wewe tuione. Sura yako itakuwa imepauka na makunyazi pia.
Lini mtaacha kutongozana kwenye theads za watu? :angry:
Una amu ya kupelekwa mabwepande weweacha hizo wewe mhamiaji haramu, una wivu wa kijinga:yell:
Una amu ya kupelekwa mabwepande wewe