Mshindi wa redds miss Tanzania ni Happiness Matimanywa toka Dodoma

Mshindi wa redds miss Tanzania ni Happiness Matimanywa toka Dodoma

Ahaa huyu ni Mtutsi wakuu.sasa inakuaje hile operation kimbunga??hata yule mhindi siyo mbongo .wakuu wa kimbunga mpo wp??
 
Mhhh kumbe hata yule hawara yangu anafaa kuwa miss tz. Ana ving vizur kumshinda huyo wa ludenga
 
Huyu hawezi kushinda miss World kabisaa.Kwanza jina lake la pili tu gumu.
 
Back
Top Bottom