Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
- Thread starter
-
- #61
Mkuu si kupeleki kwenu unakajua kale ka msitu ka mabwepandemwabepande ndio kwetu huku, :heh:
Samahani wadau naomba kuuliza hivi ni miss redds Tanzania au miss redds Tanganyika?Nilikuwa nasikia kwa makini kusikia kama kuna waliotoka kanda za Unguja na Pemba lakini sikusikia kitu kama hicho.Wenye kujua zaidi mtujuze tafadhari,
ana bonge la komo, sura kama tambara, ametoa kitu kapata kitu
hata kuandika vizuri hujui, meza vyupa kama umekasirika :smash:
Tuheshimiane tafadhali
Unaiwa DAR,ukapewe mafunzo.
Unaiwa DAR,ukapewe mafunzo.
hahaha akapewe mafunzo ya u miss,hivi miss bantu bado ipo?
mkuu id jina lako baya, avatar yako mbaya, comments zako unazotoaga na zenyewe mbayaaa!!!:target:ili uwemiss msichana anatakiwa kuwa nanini...?
wivu wa nini nimuoenee wakati tu demu wangu ni mzuri mara 100 kuliko yeye:yuck:ni mzuri bana
acheni wivu
she is UGLY,period
Kashagongwa sana mpaka anakuja kupata hilo gari
ana bonge la komo, sura kama tambara, ametoa kitu kapata kitu