Mshindi wa redds miss Tanzania ni Happiness Matimanywa toka Dodoma

Mshindi wa redds miss Tanzania ni Happiness Matimanywa toka Dodoma

Samahani wadau naomba kuuliza hivi ni miss redds Tanzania au miss redds Tanganyika?Nilikuwa nasikia kwa makini kusikia kama kuna waliotoka kanda za Unguja na Pemba lakini sikusikia kitu kama hicho.Wenye kujua zaidi mtujuze tafadhari,

Acha ushabik wa kitoto ww,kwan bila wao kuwepo ndo hatutumii tz?hata muungano ukivunjika leo Tz yetu itabak pale pale.
 
miss wa mwaka huu mzuri mdogo 19 na anadegree ya bness..wapi wema sepetu kazi kuuza sura nakutafuta kik
 
Miss Uganda 2.jpgMiss Tanzania.jpg Angalia tofauti ya zawadi ya Miss Uganda na Miss Tz pamoja na kwamba mdhamini ni mmoja!
 
Huyu miss Tanzania ni mzuri na kashinda kwasababu ya vigezo anavyo takiwa miss kuwa na vyo na sio uzuri wa sura tu.

Wasifa wake wapili yupo vizuri darasani ni one among of Tz one students , hali weza kuongoza kiduni katika masomo ya business nakuwa world number one student. Msio jua mtatumia muda wenu kubisha badala ya kufanya research.
Dunia tayari ina mjua academically na hipo mbio kumjua tena kama miss world endapo atashinda.
 
ili uwemiss msichana anatakiwa kuwa nanini...?
 
acha kuumbua ikiwa hujaumba we dada yako au hata ndugu yako yeyote wa kike au hata mpenzi wako angeweza hata kuingia kumi bora?afu we ndo umemuumba mpaka uponde kiasi hiko??????????wivu tu hamna lolote.
ana bonge la komo, sura kama tambara, ametoa kitu kapata kitu
 
Back
Top Bottom