kichwani yupo vizuri ana uelewa mkubwa ila sura ni changamoto kwakweli
kwa uzuri wote huo nikikusimanga nitakuwa nina langu jambo🙂
lbd utakuwa umenikataa:teeth:
Wewe mzuri? Acha kupotosha ni mzuri. Acha wivu wa kijinga. Wewe ndio una sura ya tambala acha kukufuru mola wako
Ulimshikia mguu? Kama wewe unaweza kuutumia mwili wako kufika unapotaka, usidhani kila mtu anafanya hivyo aisee
wabongp nao mbona unafanya unachokataza? Kama sura ni tambara inabak kuwa hivyo..no one can change it!!
Huyuuuuu lazima katoa kitu apate kitu...au??!
Mhhh kumbe hata yule hawara yangu anafaa kuwa miss tz. Ana ving vizur kumshinda huyo wa ludenga
we are not serious man, ni just kuchekesha watu
Huyu hawezi kushinda miss World kabisaa.Kwanza jina lake la pili tu gumu.
hakuna kitu hapo she is ugly
Mbona mbaya hivi!
she is UGLY,period
heee kumbe yule ni wa dasilamu sikujua mweeh.
kalou and you jamani!!!!!!!!!!ila any way beuty is in the eyes of the beholder,we kwako mzuri ni vannessa mdee lakini si unakumbuka siku ile baadhi ya watu walivyompondea,so sio mbaya huenda kwako huyu bi dada hakuvutii ila kwangu she is mwaaaaa an love her jamani.
alikuwa miss temeke ujue yule.
siku hizi nimekua mvivu sana kufuatilia hivi vitu. zamani nilikuwa nafuatilia kuanzia katika vitongoji.